Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo ndio ranking yako?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

View attachment 3070505
Mimi nakuletea ripoti kutoka United nations wewe unaleta takwimu hata hazijulikani.
Kuna ripoti chini hapo inasema mataifa yanayohitaji msaada wa nje wa chakula kutoka United Nations.
Naomba unitafutie Tanzania hapo kwenye hiyo list.
 
Waambie hawa maboya wako wanasema eti Mkenya hawezi miliki ardhi Tanzania.
Utamiliki land kwa ajili ya biashara au uwekezaji tu pia itakuwa chini ya TIC na sio kama mtanzania ambaye anamiliki ardhi kwa ajili ya kujenga nyumba ya kukaa au anaweza akamiliki na akakaa nayo tu, kama umepigwa pesa pole sana.
 
Na usisahua kucharge torch pia malaya hiiπŸ˜‚πŸ˜‚
Mbona unanikot mara mbili mbili we fala, nmekuambia mm sio rika lako nilianza kupata kazi serikalini kitambo, kipindi kile una download mipesa Google ili uje ushindane na mm mwenzako tayari nilikuwa na nyumba kubwa na niliipost humu, sasa wewe mshika vidonda unaringisha simu, inaonesha umetokea familia ya chini sanaa.
 
Kukot ndio mnyama gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…