Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunatandika reli ya SGR mpaka Mbamba bay. Hii ndio priority kwenye reli after reli ya kati.
Along the way kuna iron ore na coal
kama tunaenda kuhudumia Malawi reli inayoenda kujengwa ni Cape Gauge Railway!
 
Chief unaua inzi kwa nyundo. Maisha hawezi elewa huyo 🀣🀣🀣
 
Mbona EACOP wasirudi? Na mbona efficiency yenu isiwafanye wabaki kwenye kupitisha Mafuta Ukunduni hapo Mombasa na mmebaki mnawatoza gharama za wizi?
Mwithiopia amewakimbia sasa mganda anawatoka kidogo kidogo, mnyaruanda naye pia, nyang'au hana rafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…