Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyu Balozi wa Japan na yule wa Marekani alieyeondoka wanapenda kujiachia sana, Mwingine wa Denmark nakutana nae maeneo ya coco beach na mbwa wakeπŸ˜‚ . Na balozi mwingine anayejiachia hadi mwanane anazurura ovyo mtaani na Baiskeli ni Balozi wa IranπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. He doesnt give a rat AssπŸ˜‚

BTW
Balozi wa Japan anawakumbusha wakundustan quality ya rail yetu, Rails steel from NIPPON STEEL ( first world) Trains from Hyundai Roterm ( inasomeka β€œHandeiβ€πŸ˜‚ pia wa mbele , wakundustan msilete hiyo ugly accent πŸ˜‚ nyie ni wa matopeni tu kunduni huko πŸ˜‚
 
View attachment 3072099

Kwa sura hizi za magari hakuna kitu kinavuka 1997 hapa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila bado mkundustan anadai magari yao 0 kilometer πŸ˜‚πŸ˜‚ .
View attachment 3072099

Kwa sura hizi za magari hakuna kitu kinavuka 1997 hapa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila bado mkundustan anadai magari yao 0 kilometer πŸ˜‚πŸ˜‚ .
If that's the case then what will we say about these ones?

Mnapenda kujipa matumaini sana
 
Mzee hizi ni silaha za kupambana na Cairo na Johannesburg na sio kijiji cha dar slum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…