The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,668
- 99,003
Duh aloo π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£Mzee hizi ni silaha za kupambana na Cairo na Johannesburg na sio kijiji cha dar slum
Umeongea Opposite, Ethiopia ndio ameagiza mizigo yake ya kwanza kupitia kenya pale Lamu port.Malawi hawana mizigo ya maana na bado watarudi tz na nyie mzigo ya Ethiopia soon inaenda Somalia
Kazi kwelikweli π€£π€£π€£π€£ππ
Mzee kama ni kubwa sema nikupake mafuta, si unajua napiga shoti 7 πKazi kwelikweli π€£π€£π€£π€£ππ
Kwani hii ni SGR station?πππ€£Kwan c unajua ujenz bdo unaendelea au nyinyi mlishamaliza?π€£
View attachment 3073127
99% of the bookings ni wenye wanaenda Dodoma lakini wamelipa pesa Pugu πππ€£π€£π
Data cooking, amb wa Japan amepanda economy na iko empty π
Wewe ni kichaa hujui kama kuna watu wameshukia hapo katikati au muda wa kupiga picture watu hawakua yet full boarded ila desperation is agonyData cooking, amb wa Japan amepanda economy na iko empty π
Mlipenda kweli iwe white elephant kama yenu lakini wapii! ππ99% of the bookings ni wenye wanaenda Dodoma lakini wamelipa pesa Pugu πππ€£π€£π
Royal pia seats are emptyπππ€£Data cooking, amb wa Japan amepanda economy na iko empty π
Itβs already white elephant and thatβs why it has already stalled 5 times in monthπππ€£Mlipenda kweli iwe white elephant kama yenu lakini wapii! ππ
Andaa bucket ya machozi sababu utalia sana ππItβs already white elephant and thatβs why it has already stalled 5 times in monthπππ€£
Does this dispute the fact that yenu imekwama mara tano kwa mwezi?πππ€£Andaa bucket ya machozi sababu utalia sana ππ
View: https://x.com/magwaz3/status/1825049663096881196?t=ac_BBWyUVnga3LE9BwV_1A&s=19
Keep cryingDoes this dispute the fact that yenu imekwama mara tano kwa mwezi?πππ€£
Vi apartment nzee π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£
Paid blogger under CCM payroll ππAndaa bucket ya machozi sababu utalia sana ππ
View: https://x.com/magwaz3/status/1825049663096881196?t=ac_BBWyUVnga3LE9BwV_1A&s=19
Soon anaamia Somalia hivi lamu white elephant port Bado ipo?Umeongea Opposite, Ethiopia ndio ameagiza mizigo yake ya kwanza kupitia kenya pale Lamu port.
Paid bloggerππππ
Yetu haijaikwama mara tano kwa mwezi kama hiyo yenuππ€£