Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,339
- 107,983
Ndege wamepewa bure na serikaliGeza Ulole ichoboy01 wapi profits za ATCL?π
Huyo Tangu azaliwe hajaiona ATCL ikitengeneza faidaπππ€£πOkay sawa basi KQ imepata hasara Kama atcl are you happy now ππ
How do you expect them to make profit when they carry 800k passengers in a year πππ€£πNdege wamepewa bure na serikali
Parking hawalipi wamepewa waiver
Bill ya mafuta inapelekwa ikulu
Hasara tangia 1970 πππ
Hasara loadingπππ€£
Kenya hatutengezi uchafuu huu ππzimetoka kenya π€£π€£π€£π€£
View: https://www.instagram.com/p/C-GIkFFKtjm/?igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
We donβt produce fake busesππ€£πzimetoka kenya π€£π€£π€£π€£
View: https://www.instagram.com/p/C-GIkFFKtjm/?igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
Hamna middle class, LDC type shit πHow do you expect them to make profit when they carry 800k passengers in a year πππ€£π
Wakenya tusaidieni. Sgr yetu watu wanapanda bure hukuWe donβt produce fake busesππ€£π
Vya kwetu tunavijua na tunazisema hadharani kwamba ni made in Kenya mwambie asitubandikie makopo ya mchinku πππWe donβt produce fake busesππ€£π
Hizo habari tunazo, ni bora CCM imkabidhi bakhressa tu manke hizi ni aibu πWakenya tusaidieni. Sgr yetu watu wanapanda bure huku
Tz ya vi wonder
Wakenya ndio wamiliki wa hizi accounts.South Africa ya kwanza halafu kwenye bandiko wanaweka picha ya Ngorongoro crater? Ndo yale yale ya Mandela kutambulika kama mkombozi wa Afrika.
Na wewe umetokea wapi?Wakenya tusaidieni. Sgr yetu watu wanapanda bure huku
Tz ya vi wonder
Sikumbuki kama ya pili ilishakuja, Dreamliner zililkosa parts za heat exchanger baada ya Urusi kupigwa sanction. Na hii 787 na ile ya mizigo ni za Magu, hivyo utaona ziliadhirika na vita. Max ni za Samia.Hi ni yapili au yatatu mbona sielew