Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar- Moro 300km pekee.., passenger train, where is value for money?..., mnauwa mabasi eti uchumi hehehe.., no economic viability whatsoever, CCM PR gimick at the expense of tax payers money na mikopo kwa wingi, mifukara wa akili na mali hehehe
Onaropoka huelewi nini unazungumza.
Nani kakwambia biashara ya mabasi inakufa!?
Nani kakwambia hakuna value for money!?
Nani kakwambia hakuna economic viability??
Hivi unajua kuna wafanyabiashara hufanya biashara daily toka Dar-Moro-Dom na kurudi??
Hivi unajua kwasababu hiyo mzunguko wa pesa umekua mkubwa kwao!?
 
Hata hizo car assembling plant they have been investing in a wrong place, no demand… few buses compinies.. sahii waache wa brag to export them πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ they can not afford.
Baboon mambo vipi bwana, Yani hadi siku hizi unaogopa kunireply?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Tangu tujue unafanana na baboon umekuwa muoga sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Mlipompigia kura kwa story za jaba? Tuite nn? Kama si kubebwa ufala?

Bebwa ufala mwingine Falamanga!

View: https://youtu.be/YwrmGwJYvkw?si=pmZ_fiyT_OpAh5Bb
 
Mlipompigia kura kwa story za jaba? Tuite nn? Kama si kubebwa ufala?
Zile zilikua campaign promises, unajua tofauti ya kutoa ahadi na propaganda?.., nyie ndio chief ama wakuu wa kubebwa ufala tokea mababu sasa ni nyie vitukuu na hambadiliki hivi karibuni..,
 
Leo ndio umekili reli yenu ni tembo mweupe
 
Wacha wivu mzee sasa kama bus moja ya Master fabrication inanunua nne za China tatizo nn? Wenye mabasi Tanzania wanachagua ya Uchina!
Wanachagua ya uchina because they are cheapπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£

This bus here is 588,000,000 Tanzanian shillings πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…