Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unazungumzia historia!!??
Hata Barcelona kabla haijafungwa 8-2 na Bayern Munich mechi ya mwisho kabla Barcelona alimfunga Bayern 3-1.
Tizama current performance sio historia.
There is no East Africa capable of defeating Gor Mahia and that’s the truthπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
There is no East Africa capable of defeating Gor Mahia and that’s the truthπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Unaongea ujinga kama kawaida yako.
Gormahia ya ngapi katika viwango vya CAF!?
Mechi yenu ya preliminary stage si mmefungwa 1-0 na Merreikh ya Sudan kusini!?
Sudan kusini haipo East Africa?Au ipo West Africa?
Ndio ujue history doesn't matter.
Katimu hakaeleweki kutoka Sudan kamewalamba 1-0.
 
Kwani hiyo timu ya South Sudan ishatowa Gor Mahia? Wewe ngoja uone vile kesho watanyoroshwa mabao.
 
I don’t know what’s usually the problem of African countries. Imagine this is how those beautiful stadiums in Cameroon that hosted AFCON looks like currently.

The terraces looks like it has never been used for 20yrs now





Look how pitch looks like


They couldn’t even manage to maintain athletics tracks
 
Kundudweller Umechanganyikiwa
 
Tuko wengi mkuu na mimi nataka nikapige maji Dom weekend moja nije kulala Dar kwasababu speed ya treni inaruhusu 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…