Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,339
- 107,983
habari taken straight from your delusions. Mtanzania hajui kizungu utamjua tu na heavy danganyikan swahili accent anywhere in the world π€£π€£You must dumb! Waburundi, Warwanda, Wacongo, Wakenya na baadhi ya Waganda wanaishi na kujitambulisha kama Watanzania.
Ikulu yenu Mbona ni ya mkoloni?Sasa unabrag na hoteli ya Mkoloni.πππ
Ni kati ya majina ya Ruto. Lakini google inasema ni jina mojawapo la watoto wa kiume wa kabila la wakalenjin.πKaka hujanijibu neno "kipchirchir" umelitolea wapi!?
Umeona tukibrag nayo?Ikulu yenu Mbona ni ya mkoloni?
Nyie mlikuwa wapi huo mwaka? π€£ π€£ π€£Unafiki wa Mkundustan NairobiWalker unajulikana kisa Ukunyani walikuwa maporini huko mwaka 1894!
Samia hajawahi fanya kampeni ya kidiplomasia akashindwa πΉπΏπΉπΏπ₯π₯ππTanzania significance effortlessly
View: https://x.com/rutaraka/status/1828495425558430140?t=4HN9eSipI0MqFBi3EoddBQ&s=19
Mark my words. Raila hashindi hiki kitiWalalahoi wa Jamii Forums wakipiga makelele eti ooh Raila hawezi pata, Rais wao ambaye ana ushawishi anamuunga mkono Raila.
View: https://twitter.com/SuluhuSamia/status/1828431960085062075
Kwa kuwa Tanzania imewaunga mkono basi Odinga atashindwa maana sisi tuna kura ya veto hapa Africa ππ
View: https://twitter.com/SuluhuSamia/status/1828431960085062075?t=4nt15yAmRiM7sK2tq9MK5Q&s=19
Tanzania significance effortlessly
View: https://x.com/rutaraka/status/1828495425558430140?t=4HN9eSipI0MqFBi3EoddBQ&s=19
Samia hajawahi fanya kampeni akashindwa.πΉπΏπΉπΏπ₯π₯
Ummy alixunguka Nchi kibao Kupeleka ujumbe wa Rais na matokeo yake ndio haya Sasa ππ
View: https://www.instagram.com/p/C_Lz0F5tPCe/?igsh=MWVjbGZsd2g2YnJ1bg==