Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahiyo Insta Story ya Man United ilijipost yenyewe? 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Kwahiyo Insta Story ya Man United ilijipost yenyewe? 🀣 🀣 🀣 🀣
Don’t you know that you can change your name to Manchester United even right now?πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚.

Show us their tweet recognizes that Ommy Dimpoz, tweet will always last forever for everyone to see unless deleted.
 
Naona pia kwenye Vifaa vya Jeshi camouflage inang’aa kidogo au imebadilika kidogo kama kuna vitu vipya vingi vimekuja. 😎
Meli iliyokuja kutoka China kwaajili ya matibabu na zingine zilikuja kwaajili ya mazoezi. Nadhani zilileta zana ambazo hazijawekwa kwenye display.

Hebu check hii hapa kwa karibu. It seem something from china

 
Wow adani Naskia moja ya masharti hawaruhusiwi kuendeleza airport yoyote Kenya nzima πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Masharti ambayo Magu aliyakataa kupitia bagamoyo port πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
View attachment 3084088
Na wanaamini sisi tumeuza bandari, hawajui ukiuzia mtu kitu anakuzuia usiwe na upenyo.

Dar Port ingeuzwa, ports nyingine wangeweka hayo masharti alafu toka lini Port iuzwe kwa watu wa wiwili kwa mpigo DP na Adani?

So ni waliopewa tu magati kuongeza ufanisi.

Though ni ujinga sana kwa serikali kushindwa simamia na kugawa lango.kuu la nchi kwa wengine.
 
Finally hile Stadium Yao ya Arusha imeanza. Naona wamerudi na mzungu after Mchina kutoroka kusikojulikanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£

View attachment 3084189
View attachment 3084191
View attachment 3084193
View attachment 3084194
Bongo sio Kenya, Miradi yetu hatujaikopea wala kuiwekea PP so mkandarasi anakua na Sub Contractor ndio hao unawaona kampuni za wazungu, na mix za Wabongo.

Madhara ya kutumia mkopo mzima mzima kulipia mradi mpaka unaandikiwa KICHINA hatuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…