Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🀣 🀣 🀣

Wewe husaidiki. Wacha nikuache.
 
Mwambie Kipchoge is the only person from East Africa that is followed by Christiano Ronaldo on social media πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huwa huachi kupotosha aisee.
Nani kakwambia sisi tumefurahia Samia kusalimiana na Rais Jinping?
Tulichofurahia sisi mkataba wa kurekebisha na kuboresha reli ya TAZARA utasainiwa na kufanikiwa.
Na tulichokifurahia zaidi ni uendelezaji wa urafiki baina ya Tanzania na China.
 
Shida yako huwa kuangukia tu mijadala bila kuelewa inakotoka. Humu humu mjadala umeanza mkijisifia jinsi Rais wenu alivyopokelewa China. Rudi nyuma uelewa mjadala ulikotoka ndio uje tujadiliane.
 
Mkuu faida anayopata China kwa uhusiano wake na Tanzania haina uhusiano wowote na GDP ya Tanzania, kwani hujui kwamba Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi duniani? Basi hicho ndicho kitu kinachofanya Tanzania kuwa mshirika mkubwa wa China na hili halihitaji maelezo mengi hata wewe mwenyewe unajua hilo.
 
So Wikipedia page ya China-Tanzania relations ndio proof yako? Hivi hujui Kila nchi inayo? Umefika level Gani kimasomo bradhee?🀣🀣
Huyo ako na certificate ya kupea watoto chanjo, yeye ni wale watu hutembea kwa estates na speakers wakitangazia chanjo za polioπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚
 
Hii ndio dealership ya Haval? 🀣 🀣 🀣 Unatuonyesha assembly ya trucks kitu tumezoea kuona Kenya. Huna hata aibu. 🀣🀣
Kumbe ndo huna aibu umeleta dealership Mimi nimekuletea assembly plant ya Chinese product. Kuna kongani ya viwanda vingi sana vinajengwa na soon mtaanza kuviona dealership tumewaachia nyinyi maana hata tukikuuliza mmeuza ngapi toka muanze kuwa madealer hata 2000 havifiki.
Kuhusu dealership Tanzania Kuna soko la trucks sana kwa sababu ya mizigo Sasa nani achukue uwakala kwa kitu ambacho hakuna soko. Muda ukifika badala utaona watu wanaleta viwanda
 
Muulize yeye ana export nini
 
Yaani Tanzania isiwe na history na China kwa yote haya yaliotokea, Kunyaland ndio iwe nayo? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View attachment 3086705
Do you know the meaning of a cemetery? So you wanted those 60 Chinese prisoners to be returned back to China to be buried there?

Anybody can be buried in a cemetery especially those that doesn’t want to burden their families with funeral expenses.
 
Kuna miradi mingi ya maana ya kunufaisha raia kuliko huo hapa Tanzania kupitia hao hao China.
Sema tu hakuna Haval dealership in bongoslum, wacha kutapatapa. Munategemea wawekezaji wa serikali kwa asilimia 90%.
 
Lete takwimu hapa.
Tofauti na TAZARA ni investment gani ya maana mchina kafanya Tanzania? Imagine after kununua mabasi Yao kwa wengi they are still coming to assemble those buses in Kenya.
 
Kuwa followed na CR7 kuna impact gani kwa Kenya!??
Ona hii mbusi.
We were discussing about fame. Ama ni vile umepata Kipchoge anajulikana sana sasa unataka kubadilisha mada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…