Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sisi sio kama nyinyi mulishindwa kulipa deni ya Tazara, mukaenda kulilia wachina wawasamehe ju nyinyi ni nchi maskini. 🀣🀣
 
Unatamani sana mambo yawe hivyo 🀣🀣🀣🀣. Lakini kiuhalisia hakuna Investor kwa sasa anaweza Invest Kenya hakuna resources
So Mobius iko Tanzania ama?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚
 
Mmekaa chumbani baada ya kupiga teargas kwenye maandamano,nba njaa,mkaamua mtengeneze takwimu kujifurahisha
So leo hii Tanzania invest amekuwa Mkenya?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

 
BJ 50😁
Proudly Kenyan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…