Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna mtu hatokufa? Mbona nyie mlikuwaga mnanitishia humu ndani kisa nakosoa sera za Mzilankende? Unajitoa ufahamu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nyie mlikuwaga mnajua hamtakufa au? 😁😁😁😁😁
 
Kuna mtu hatokufa? Mbona nyie mlikuwaga mnanitishia humu ndani kisa nakosoa sera za Mzilankende? Unajitoa ufahamu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nyie mlikuwaga mnajua hamtakufa au? 😁😁😁😁😁
Anhhhh Bana hiii issue inaharibu image Bana too much mzee, inakua kama watu hawajiamini na 2027🀣🀣🀣🀣
 
Wewe watchman safisha makucha zako. Stop comforting yourself. Eti wasafi! Wapi t-shirt ya wasafi hapo? Ama hata hujui label ya wasafi na rangi zake zinakaaje na wewe ni bongolala!!
 
Kwani unadhani Tanzania hakuna fabricators ? Ila wakunya buana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kunyan mindeset zao eti sie tunawaona kama wao special flan hivi kumbe!wangejua jinsi tunavyowachukulia wa ovyo miaka na miaka,au sijui hawajui maana ya jina nyang'au lililoasisiwa na baba wa taifa mwl nyerere πŸ˜€
Wanafundishwa hivyo tangu wakiwa wadogo, na hawajawahi hata kwenda sehemu yoyote. Propaganda za Elite Families zimewaingia sana.

Halafu nimecheka sana. Anajiita Pan Africanist halafu hapo hapo anajiona mkenya kwanza. Pan Africanism inaongelea Uafrika kwanza halafu ndio uje kuongelea Nchi yako.
Mitandao hii inakuja na mambo mengi sana 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Hivi wanajua nyang'au inamaanisha nini kweli,maana sisi wenyewe tunafundishwa kunyan wote ni nyang'au πŸ˜€πŸ˜€
 
The same Nyerere meenye aliwaambia mkitaka kwenda ulaya msisumbuke kwenda mbali; mje tu Nairobi ama Nyerere mwingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…