Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeumia sana bongolala sivyo? Hasira zako peleka Kwa kaburi ya Nyerere aliyesema hayo maneno. Sio maneno yangu. Alafu, umesafisha makucha zako ama bado ziko vile vile? Personal hygiene is important, you know
 
Mpo mbele yetu tukiwapiga doggy s.... labda,but ukija kwenye maendeleo ya naah,tumewapiga gape kubwa sana kwenye maendeleo ya wa kawaida
Hebu taja hizo maendeleo one by one. Uzuri Mimi hupenda kutumia facts and evidence
 
I am addressing youπŸ˜‚
I know you were adressing me. Also, I knew what I was talking about when I mentioned new York of Africa. At least now you know what I was driving at.

This song has been sung here time without number
 
Ta
Bado unaishi maisha ya kale.😎
Taja hizo za current we compare notes. Huenda Mimi naishi maisha ya kale just as you put it. But hiyo maisha ya 'kale' ninayoishi has made me so confident knowing you can't beat me in this contest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…