Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani kuwa na hela zamani na kukosa hela sasa hivi haiwezekani!??

Hiyo inajulisha ya kuwa hamkuwa na pesa wakati huo.
Kama mngekua nazo msingekaa miezi minne kuanzia October 2023 hadi January 2024.
Mlikatikiwa na bajeti katika wizara yenu ya fedha kubalini msikatae.
 
Huna akili na huna upembuzi.
Serikali kukatikiwa na fedha ni jambo la kawaida.
Kenya wizara yenu ya afya ilikatikiwa na fedha ndio maana mlikaa miezi minne bila dawa.
Kama mngekua na fedha mngenunua mwezi ule dawa zilivyoisha.
Wacha kutafuta sababu zisizo na mashiko.
 
Lete hiyo sehemu inayosema hivyo.
Hizo logistics issue ni zipi zinazosababisha mpaka dawa zisisambazwe!?
 
Mm sio shoga kama wewe, mtoto wa kiume unaanzaje kumchunguza kucha mwanaume mwenzio, wanaume tunatafuta pesa kwa shida so kuchafuka ni kawaida labda mashoga kama wewe na mnuka nnyaa ndiyo mahangae.
Sasa ukiwa mchafu usiambiwe? Enda ukaripoti polisi basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…