Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hamna mitaa nzuri nzuri, mabarabara....sasa tutaelewana kivipi? Karibu kila picha ya jiji ya Dar inaonyesha tu eneo moja.
Nairobi is superior by far.
Hehehhe hata ukijifanya huelewi utaelewa tu hii ndio dar ya 2017
 
Hahhahha picha ni zile zile zilizozunguka Kenyatta conference hakuna jipya pale pale nimewaambia hata mupige different angles mia moja lakin majengo in Yale Yale sijaona jengo jipya hahha
 
Mimi Jana niliwaambia walete jengo moja baada ya moja wakakimbia hahha walimkibia kwasababu majengo yao yanajulikana sasa wataumbuka hahhaha nilitaka kuwaonesha how dar is big city hahahha kama kuna mkenya anajiamini twende nae jengo moja baada ya moja
 
Hakuna kitu kipo nairobi au mombasa au kisumu alaf dar ukakikosa hhhaahhaa imekusanya city tatu za Kenya maana mombasa na kisumu hakuna kitu hhahhahaha dar ni moto hhhaha
 
Yani kusanya nairobi 696 + mombasa 300 + kisumu +200 =1196 dar is 1590km sq my friends hakuna mwalimu wakufundisha humu tunashindana na mambo yako wazi
 
Najua hamunipendi lakini hesabu haitobadilika hahahhahhahaha dar itabaki kua biggest urban city in east Africa and the fastest growing city in the world na hapo dar leads in real estates of about 12 billion dollar while nairobi is 9 billion dollar
 
India na izo slums zao zote wako rich mara 100 than Tanzania.
Hahahhaha hakuna sehem watanzania wanaish hvi hakuna hahhahhaha na sijawahi kuona in my life huku kibera ikiwa biggest na largest poor slum in the world hahhahhaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…