Hakuna siku nishaipotea hapa. Kwanza huwa mnatamani sana nipotee kabisa, ama unadhani sijui hilo?ππNdio shida yako, kesho ukiletewa watu wanahama Starlink na Safaricom inawaibia na monopoly unapotea.
Unajua hata maana ya kupotea kimjadala? Au niseme kua "Unapita kama unaaga maiti"Hakuna siku nishaipotea hapa. Kwanza huwa mnatamani sana nipotee kabisa, ama unadhani sijui hilo?ππ
loan from who na kwann anaiendesha SGR mpaka leo hii??πππππEbu tuonyeshe tuone proprietor ya Expressway. πππ€£π.
SGR ya Kenya is loan just like ya Tanzania and Ethiopiaπππ€£π
Tanzania mliomba dunia kote just to finance your SGR. Zingine mliomba Kenyaπππ€£πloan from who na kwann anaiendesha SGR mpaka leo hii??πππππ
Hata ujifariji vipi lakini leo Gor Mahia aka K'Ogalo (jamaa unaodai wana basi zuri Africa nzima) wamebondwa tatu bila nyumbani.π
Unaumia ukiwa wapi? More of Talanta.Hata ujifariji vipi lakini leo Gor Mahia aka K'Ogalo (jamaa unaodai wana basi zuri Africa nzima) wamebondwa tatu bila nyumbani.π
Najua ulikuwa unasubiri Simba afungwe kama alivyobondwa Gor Mahia leo ha ha haπUnaumia ukiwa wapi? More of Talanta.
View attachment 3096818
View attachment 3096819
View attachment 3096823
narudia kama ni loan kwann anaiendesha mchina leo hii miaka 7 ππTanzania mliomba dunia kote jist ro finance your SGR. Zingine mliomba Kenyaπππ€£π
Lower your expectationsπUnaumia ukiwa wapi? More of Talanta.
View attachment 3096818
View attachment 3096819
View attachment 3096825
Condition za loan za Kenya na Tanzania zinafanana?Ebu tuonyeshe tuone proprietor ya Expressway. πππ€£π.
SGR ya Kenya is loan just like ya Tanzania and Ethiopiaπππ€£π
Leta source yako kupingaAnd you believed it?
ww huamini kwani??ππππAnd you believed it?
Ndio tuliomba tukapata wewe umeomba mkakosa ikabid muuze kabisa airportTanzania mliomba dunia kote jist ro finance your SGR. Zingine mliomba Kenyaπππ€£π
Kwahiyo TRT waongo haya leta zako