Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaweza kuta hapo alipo hajanunua Starlink na hana uwezo wa kununua.
Na ikitokea amenunua ujue kuna shughuli zingine zitakuwa postponed maana uchumi binafsi hauruhusu kufanya vitu vingi kwa pamoja. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa hivyo wale wamenunua tu ndio wanafaa kuiongelea. You are very petty.
 
Ju haiko bongoslum ni kejeli. Enda uskie vibaya na huko.
sasa sisi tuumie kuikosa kwani umeambiwa tunaitaka ? nyinyi huwa tunawaacha mnajifaragua halafu tunakuja kuwapiga knockout za maaana. rejerea tulicowafanya hoima, sgr, tunavoenda wapiga ngumi za chini kwenye bandari ya tanga baada ya kushusha wharfage kwa mzigo wa uganda tuone mtakavyohangaika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…