Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwambie ndio rahisi kutengeza kuliko kila kituπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Alafu yangu nipost hiyo payment Hawa watanzania wamekuwa na hasira sanaπŸ˜‚. Ok nimewacha kupost, sitapost tena.
 
Hata chakula anachodai kalipia 10k ni sawa na 200k za Tz.
Yani utupigie kelele kwa laki mbili za kitanzania??
Makalio kweli huyu.
Hile bill ya Jana is half your salary.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Maskini utamjua Tu 🀣🀣
 
Maskini utamjua Tu 🀣🀣
huyu ni maskini tu. ukiona mtu analazimisha umuone ana hela jua ni maskini tu, ukiona anaweka details za transactions zake kwenye mitandao jua kabisa hana hela maana ukiwa na hela lazima ujue kuexpose tu transaction zako unakuwa kwenye risk ya kufatiliwa na wezi wa kimtandao.
 
Ona unavyoanza kudataπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Nusu ya sita ni mbili!??
Tulizana kijana wacha papara.
We all know Clinical officer's salary in Tanzania ni 20k, yesterday I spend 20k kwa hoteli. Tell me if that's not half your salary πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
We all know Clinical officer's salary in Tanzania ni 20k, yesterday I spend 20k kwa hoteli. Tell me if that's not half your salary πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

kwahiyo askari wenu kenya wanaanzia tsh 360,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…