In 2021 aisee we ni ng'ombe!??
Lete ushahidi wa Magufuli kutibiwa Kenya!?Yet you take your Presidents to Kenya to be treatedπππ€£π
Nenda hapo juu kidogo kwenye standi ya matatu ni pachafu sio poa
source by who??? ππππ
Hana huyo nyang'auπLete ushahidi wa Magufuli kutibiwa Kenya!?
Usisahau mwaka huu tumewapa msaada wa dawa za TB.
Pigo jingine takatifu kwa kunyan loadin...Sijui utapost nini juu hii area imeshavunjwa ππππ najua itakuuma ila ugua pole pole. ππsisi tumeamua kufanya noma kwenye sector ya miundombinu. Imagine huu mto wote we upgrading it to be seen like this ππΎ all the way. View attachment 3106369View attachment 3106370View attachment 3106372View attachment 3106375View attachment 3106374Najua hii itakuuma sana πππ ila uzoee. Huu mradi unaitwa Msimbazi river basin dvt project. Nadhani watu huwapost kuhusu huu mradi humu ndani.. now I officially want to let you that we are developing with a light speed.
acha kuwapunja wanayo nyingine inaitwa KOROGOCHO CITYView attachment 3106456View attachment 3106457View attachment 3106458
Hongereni wakundustan kwa usafi uliotukuka