concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,486
kwanza kanusha kuwa wewe sio miongoni mwa wakenya wenye mental illness .huu ugonjwa naona umetapakaa sana kenya
are you aware kwamba uganda ana dry port kwala na tanga kwa ajili ya kusafirisha mizigo kwenda uganda.kwanza kanusha kuwa wewe sio miongoni mwa wakenya wenye mental illness .huu ugonjwa naona umetapakaa sana kenya
Itakusaidia na nini?ππkwanza kanusha kuwa wewe sio miongoni mwa wakenya wenye mental illness .huu ugonjwa naona umetapakaa sana kenya
ππππHeeee ona hii pang'ang'a.Hoja gani unataka nijibu yet ulisema unanipuuza? Mr. Quack canβt you survive without me in this thread?πππ
Hicho ndicho kichaka chako ukikamatwa mbupu?.Highway za USA hazina BRT
Highways za China hazina BRT
Highways za UK hazina BRT
Highways za Japan hazina BRT.
Only foolish Tanzanians wants Kenyan highway to have BRTππ
Wakundustan hii sio international airport, hii ni very domestic airport 90% inahudumia watalii, mainly wa mbugani, Kilimanjaro na Zanzibar connecting from our major international airports like JNIA, Kilimanjaro, Zanzibar lakini cha kushangaza bado mnajilinganisha na sisi,
Kwa watanzania sasa, angalieni jinsi mamlaka zetu za serikali zisivyo na akili, hili jengo ni jipya kabisa na lengo la ujenzi ni kutokana na udogo na uzamani wa jengo la awali, lakini em angalieni lilivyofurika tayari, je ni kweli walitumia akili timamu wakati wa design? Sababu tayari na lenyewe linaonesha limeshakua dogo π
View: https://x.com/Jambotv_/status/1839707117412069438?s=19
This is a mabati kibanda.
but nahisi kuna nafas kubwa ya kufanya extension upande wa kulia nafas ipo ya kutoshaWakundustan hii sio international airport, hii ni very domestic airport 90% inahudumia watalii, mainly wa mbugani, Kilimanjaro na Zanzibar connecting from our major international airports like JNIA, Kilimanjaro, Zanzibar lakini cha kushangaza bado mnajilinganisha na sisi,
Kwa watanzania sasa, angalieni jinsi mamlaka zetu za serikali zisivyo na akili, hili jengo ni jipya kabisa na lengo la ujenzi ni kutokana na udogo na uzamani wa jengo la awali, lakini em angalieni lilivyofurika tayari, je ni kweli walitumia akili timamu wakati wa design? Sababu tayari na lenyewe linaonesha limeshakua dogo π
View: https://x.com/Jambotv_/status/1839707117412069438?s=19
inauma sana achomoe ππππThis is a mabati kibanda.
Not on Highways.For you information wana dedicated bus lanes.
Kibanda cha mabati canβt pain hata kidogoππinauma sana achomoe ππππ
Lete your domestic ya kucompare you can also bring "International" one.This is a mabati kibanda.
Huwezi kujifananisha na collective west, wenzako wana vyombo (institutions) kama UN, IMF, WB NGOs. Hivi vinawabeba, wanavitumia kuwaingiza wengine mkenge ili walipe madeni yao. Ninyi mna nini cha kuwabeba?USA debt to GDP is 123%
Japan Debt to GDP is 263%
UK debt to GDP is 100%
Italy debt to GDP is 140%
So according to your stupid reasoning Tanzania imeshinda all those countries? Remember Tanzanian government borrowed some of SGR money from Kenyaππ
Kama unataka Highway kuna Kimara- Kibaha happy now?Not on Highways.
Isiolo is far better than that Mabati rolling mill promax.Lete your domestic ya kucompare you can also bring "International" one.
Kibaka Highway is not a freeway. There is no freeway in Tanzania.Kama unataka Highway kuna Kimara- Kibaha happy now?
Aisee, ni juzi tuu Makonda alikuwa pale akilalamika wakati jengo halijakamilika, leo kila kitu poa. Nikikumbuka kile kibanda cha zamani, kwenye jiji la utalii, ilikuwa aibu sana.Wakundustan hii sio international airport, hii ni very domestic airport 90% inahudumia watalii, mainly wa mbugani, Kilimanjaro na Zanzibar connecting from our major international airports like JNIA, Kilimanjaro, Zanzibar lakini cha kushangaza bado mnajilinganisha na sisi,
Kwa watanzania sasa, angalieni jinsi mamlaka zetu za serikali zisivyo na akili, hili jengo ni jipya kabisa na lengo la ujenzi ni kutokana na udogo na uzamani wa jengo la awali, lakini em angalieni lilivyofurika tayari, je ni kweli walitumia akili timamu wakati wa design? Sababu tayari na lenyewe linaonesha limeshakua dogo π
View: https://x.com/Jambotv_/status/1839707117412069438?s=19
Kimsingi interior design ya Arusha airport is better and beautiful than your number 2 best international airport. And guess what Arusha airport ni uwanja wa ndege ndogo za ndani tu. ππThis is a mabati kibanda.
Then what is it?Kibaka Highway is not a freeway. There is no freeway in Tanzania.