Kimsingi ukiingalia hii video ya bertin utapata kuona hiyo mombasa Ina tuktuk mingi kuliko aina yoyote ya usafiri. πππWako wanashangaa Tuktuks mjini moshi.....lakini their second Biggest city...Tuktuks na Daladala za 1990 ndo zimejaa mji mzima..
Wakenya ni vichaa
Jinga kweli hilo jamaa πππHuyo ni muongo. Hizo picha anazotuma ni za tarakea.
Mamaye tumeyabamba.so kwa akili yako ulijua mboya ni dar au ππ
tena hio ni nzege huko kijijini πππ
View attachment 3111338
na hapo vinyesi vimetapakaa kwenye nchi ya GDP πππππImagine check pipeline Nairobi in September 30...the richest country in Africa....mtanzania hakai hapa...
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/channel7newstv/videos/984469550100746/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v
Hii ni CBD uh? WTF
Mimi nipo Moshi. Wewe Nina uhakika hujawai kanyaga Moshi. Tulia nikueleze. π€£π€£Hakuna katikati ya mji ya hiv in Tz ππΎmoshi ni hii, then tell us ni wapi hiyo picha ulipata from this town ππΎ
View: https://youtu.be/bZMZomUOso4?si=lN--m2RcQWx5AOVP.
Walisema bomba alitajengwa, wakafanya maandamano ufaransa na sehemu zingine. SASA mabomba yameanza kutandazwa chini ya ardhi mpaka wanamaliza kelele zao tayari Mafuta atakuwa yanassfirishwa.Coating inafanyika Nzega Tabora.
Moshi wapi. Mimi nipo Moshi sasa hiviMimi nipo Moshi. Wewe Nina uhakika hujawai kanyaga Moshi. Tulia nikueleze. π€£π€£
Wewe ni kima πππ nimeishi Arusha for 3 good years, mara nilizofika moshi wala siwezi kuzihesabu.Mimi nipo Moshi. Wewe Nina uhakika hujawai kanyaga Moshi. Tulia nikueleze. π€£π€£
Hilo haliondoi aibu ya polisi kutumia probox. Hapa Kenya magari mengi yanakuwa repossessed na serikali ila yanapigwa mnada. Hawapewi askari. Hii ni aibu.Sio gari rasmi ya police, Wengine huwa wana hadi Toyota Noah. Hizi huwa wanapewa tu na serikali baada ya wamiliki kushindwa kuzilipia au zilifanyiwa magendo zikataifishwa.
Kwa mwendo huu wa kukusanya picha za ndani ndani na kuita CBD inaonesha umekosa ulichotegemea kukuta mjini, Imagine mji kama moshi unakufanya utumie picha za TARAKEA Dar je?Mimi nipo Moshi. Wewe Nina uhakika hujawai kanyaga Moshi. Tulia nikueleze. π€£π€£