Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwamba hapa tukiwaambia TANESCO walipe deni kwa makusanyo yao, wanamaliza tu
Unajiuliza mwingine imegeuka Debt burden mpaka wanaandamana kisa kodi inaongezeka kuwa kubwa kulipa hizo deni.

Ila kwa mwingine hizo hizo pesa amezitoa mfukoni kujenga Dam kubwa, huku pembeni anatoa Cash Kununua Ndege mpya mpya, upande ule watoto wanaingia Shuleni bure, upande mwingine kuna SGR inajengwa, BRT zinatandazwa, huku yupo anahamishia office Dodoma.

Kuna Donor kichaa wa kufanyia Africa hivyo imagine total ni $50bl kuna nchi ya Africa inaweza himili $50bl debt? Huku GDP yao ni $75bn na awe na Surplus ya GDP kumzidi mwenye $115bn?
 
Ikiwa debt za $1bn tu unasikia uwanja wa ndege mara port imeenda.

$50b inakuwaje huku uliyemkopesha yupo busy na sheria za kuwabana kwenye natural resources?
 
Ipeleke acha kelele kusanya pesa zote ongezea na msaada wa chakula pamoja na dawa za TB pelekea Azam asafishe na hela zake za Entertainment.
Hela za Azam hata haziezifikia za Royal Media Group ya Kenya๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
 
Weka Source kijana usiogope, maana ni $3bn bila shaka huwezi kosa si unaijua $3bn ilivyokubwa au tumuulize bwana Juma Sharobaro?
Unasahau mliomba Kenya Pesa za Kujenga SGR๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
 
Sasa Sports na Oil storage ni wapi na wapi? Umeishiwa vile unaezanijibu ama?
Acha kukimbia si tulianzia kwenye loans etc ulikua unajaribu kuprove mna msuli wa kufundi miradi kisa kutegea hizo bn kwenye sports, since june hamna kitu, ndio nakuoonesha msuli ulivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ