Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Okay. Weka orodha ya hao watu wakubwa hapa. Samahani nilikuwa sijakuelewa. Weka orodha hapa ya watu watano.
Usijifanye haukuona hii...
1.
 
Sasa rafiki umeweka watu wawili tu. Mimi nimekuwekea orodha ndefu kweli. Weka hapa orodha yako ili twende sawa.
Kawaida yako kuderail thread. Sasa wewe weka majina yako ya hao watu watano na wasiwe wanasiasa
 
Sasa kwani nani, wewe kakukataza kuweka wanasiasa? Ninakuruhusu weka wanasiasa pia ni uhuru wako.
 
Sasa rafiki umeweka watu wawili tu. Mimi nimekuwekea orodha ndefu kweli. Weka hapa orodha yako ili twende sawa.
Hafu isitoshe aliowawwka ni watu wadogo sana hawana convice power kwenye jamii ya kenya....na wanavijinyazifa vya kudandia tu
 
Jamaa ameshindwa. Sasa hivi anarusha maneno na kuweka mashart wakati mimi sijampatia mashart.
Hawa wakenya wepesi sana. Ninamsubiri tu hapa twende pamoja.
 
Hawana kitu..hafu chaajabu unaqwza ukachunguza vizuri hao wakawa ni raia ambao wamekulia nnje ama kuzaliwa kabisa ......ila sababu ni wanachimbuko la kenya ....usishangae ukawekewa hadi obama hapa
 
Sasa hivi amepotea hawezi kurudi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…