Mbona unahamisha mada.? Hizo ni closed drainage na zipo hata kesho kutwa. Mwenzako Alidai sisi ni washamba na hatuna exposure kisa kaona closed drainage in kisumu. πππ glad umesema mwenyew kwamba ni picha za 2000 huko so kimsingi yeye Ndio mpumbavu ku brag mambo za closed drainage since we have them tangu kitambo tu.Imebidii utafute picha za 2000 wakati wazungu waliwajengea drainage ndio uweze kujibu NairobiWalker. I wanted to say Moshi ni pachafu nikakumbuka hizi ni picha za 2000ππ
Huu ndio ubunifu noma.Imebidii utafute picha za 2000 wakati wazungu waliwajengea drainage ndio uweze kujibu NairobiWalker. I wanted to say Moshi ni pachafu nikakumbuka hizi ni picha za 2000ππ
Whereβs the city center kwene hii picha.? πππ au ni village center ndio unazungumzia.?
Now show me five roads in Moshi with Closed drainage. Iβm waiting.Mbona unahamisha mada.? Hizo ni closed drainage na zipo hata kesho kutwa. Mwenzako Alidai sisi ni washamba na hatuna exposure kisa kaona closed drainage in kisumu. πππ glad umesema mwenyew kwamba ni picha za 2000 huko so kimsingi yeye Ndio mpumbavu ku brag mambo za closed drainage since we have them tangu kitambo tu.
The only place that can rival Kisumu huko Tanzania ni Dar Pekee. Let that sink into your tiny porous brain.Whereβs the city center kwene hii picha.? πππ au ni village center ndio unazungumzia.?
Barabara karibu zote ndani ya Mishi town mjini Kati ziko na closed drainage.Now show me five roads in Moshi with Closed drainage. Iβm waiting.
Hizi ni vitu kawaida Kenya. Wakati Kenya hizi events zinafanywa na single mothers, uko Vumbistan lazima tu mwanasiasa ndio afanye organization ππ
Leta picha fukara hii.Barabara karibu zote ndani ya Mishi town mjini Kati ziko na closed drainage.
πππ umegoma kupost hiyo kisumu city center, yenye you are claiming to be the best.?The only place that can rival Kisumu huko Tanzania ni Dar Pekee. Let that sink into your tiny porous brain.
Umeshaambiwa event kama hii ilifanyika German na inashikilia Guinness world record ambapo zilishiriki gari 600+ while event hii ya Chuga zinashiriki gari 1000+ so we are gonna break German!s Guinness world record. Wewe unaleta stori za kitoto ππππ wewe kweli wanakudinya wewe.Hizi ni vitu kawaida Kenya. Wakati Kenya hizi events zinafanywa na single mothers, uko Vumbistan lazima tu mwanasiasa ndio afanye organization ππ
Only German did this, tunavunja rekodiHizi ni vitu kawaida Kenya. Wakati Kenya hizi events zinafanywa na single mothers, uko Vumbistan lazima tu mwanasiasa ndio afanye organization ππ
Airport ya kifalamanga sana! haina control tower na bado mnaita international! Arusha airport is more complete facility than huu UKUNYA!
Umepost picha ikiwa na closed drainage wao wenyewe wakasema haina drainage maanake hawajui closed drainage ni nini. After nimewaonesha drainage ndio anakuja na vipicha. Lack of exposure haimaanishi hazipo kwao (Ingawa kwa miji yao mostly ni open shallow drains), inamaanisha hazijui. Ni kama lile lile swali la Monorail Nigeria. Ushamueleza amekosea ndio anajifanya Sasa anajua.π€£π€£Now show me five roads in Moshi with Closed drainage. Iβm waiting.
cry hardMaybe old cars za 30 yrs oldπππ€£π.
When it comes to luxury cars Tanzania isnβt even among top 3 in the region.
hehehe ndio unajua leo kumbe ππππBora wabakie kwenye distribution,hii ya production inaweza kufanya tunumue umeme Kwa bei ghali kama kina IPTL etc.
Haitakiwi kurudi huko ππ
View: https://x.com/TanzaniaInsight/status/1844331612579807678?t=XApbZatyneE72lBu1XqvSw&s=19