Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Duh ***** mambo gani haya walitunaga eti hatuandamani kisa DP WORLD ila tuna njia zetu za kudeal naye mwisho Sheria waliyotaka kuibadili walistisha, DP World waliishia kumpa uendeshaji wa Gati tu, same kwa Adani Gati 1. Ila TPA ndio mkuu (Though I hate them madafaka maana ni upuuzi wakati kuna watu wanaiweza kazi)

Hao wanaoandamana kila kukicha Kikowapi sasa Airport hiyo, KETAKO hiyo ni Adani ni sole investor.

Waingie tena barabarani huenda ikasaidia 😂😂😂


ChoiceVariable waambie wenzako Adani akitaka ajenge Hydroelectric Power yake mwenyewe asiguse zilizopo ambazo ni Mali ya Government.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…