Kwaiyo kama wawekezaji hawapatikani tutakaa hivyo ? Mbaya zaidi mmeweka wajinga kama kina kafulila pale , mnategemea nini ? Mbaya zaidi mama yenu hata hajui kinachoendelea maskini ya Mungu .Ndio mpaka wawekezaji wa PPP wapatikane sio tuu walioo tayari Bali wenye uwezo pia.
Stori zimekuwa nyingi Kwa sababu hawajapatikana.
Mwisho hivi Mwekezaji gani atajenga Barabara Kwa vipisi vipisi kiasi hicho atapataje faida? Kwa nini isiwe Barabara yote kuanzia Dar-Moro-Dom?
Tutaendelea na ujenzi traditional construction mode yetu ya siku zote.Kwaiyo kama wawekezaji hawapatikani tutakaa hivyo ? Mbaya zaidi mmeweka wajinga kama kina kafulila pale , mnategemea nini ? Mbaya zaidi mama yenu hata hajui kinachoendelea maskini ya Mungu .
Hiyo barabara kutoka chalinze kuja Dar ni Kero kubwa. December nilikuwa na watoto kidogo tulale njiani. Kero kubwa.
Sidhani kama serikali haiwezi pata usd 400milioni kufikisha hii barabara Walau Morogoro.
Poor kddf tend to hide on grass whenever ambushed , such an act of cowardice of the most heinous sorts 😀😀😀Kenya Air Force QRF squadron training in DRC…And kuna fala fulani hapa who said ati KDF is finished in DRC… Kenya Forces going nowhere in a foreseeable future 😁😁View attachment 3127232View attachment 3127233
Huyo tulia amalize tu vumbi la mbeya hapo tutamuona wa maana kuliko chochote . At least tutamkumbuka kwa hilo.Tutaendelea na ujenzi traditional construction mode yetu ya siku zote.
Tuma maombi tukuweke wewe 😀😀
Mwisho acha dharau kisa umeona Burkina Faso,kabla ya kampuni ya IntraCom fertilizer ya Burundi hatukuwa na kiwanda chochote Cha mbolea kikubwa , uwekezaji wao ni sawa na Dangote wa Mtwara.
Wewe ni sawa na wale ambao Tulia amewa mock huko Ulaya Kwa kuwa na mawazo ya kizamani.
Unamaanisha wakenya wote ni masokwe mtu?Kati ya wewe Baboon na UN-HABITAT tuamini Nani?
A simple walk in Dar CBD vs a walk in Nairobi CBD.., tofauti kubwaaa!!.., mko nyuma sanaaaaa!! CBD moja zaidi ya hapa hamna nyingine na Nairobi Old CBD bado inailaza!! Dar ni Mombasa tuLakini majengo ya City center si yanaonekana? KICC ileeeee 👇👇😂😂View attachment 3127005
Kataa na hapa 👇👇😂😂😂😂View attachment 3127008
Nairobi yote ni ushuzi kushoto kulia, imagine hii ndiyo CBD yao👇👇😂😂😂😂😂😂View attachment 3127009
Burkina Faso? Tuache utani!
Ever heard of the Zombies of Nairobi ?A simple walk in Dar CBD vs a walk in Nairobi CBD.., tofauti kubwaaa!!.., mko nyuma sanaaaaa!! CBD moja zaidi ya hapa hamna nyingine na Nairobi Old CBD bado inailaza!! Dar ni Mombasa tu
Dar
View: https://youtu.be/JhDE7mtHhCM
View: https://youtu.be/iUGboQnpqdU
NBO
View: https://youtu.be/imuiMX6Kyyo
View: https://youtu.be/VNLqnwoJqmM
You think people are stupid like you 🤣 🤣 🤣 🤣Remember Tanzania only have 12,000km of paved roads and Dar only have 400km of paved roads🤣🤣🤣
Wakenya ndo mmefanana na sokwe Kwa ushahidi zaidi mwangalie ruto na naibu wakoSawa baboon.
View attachment 3127065
Haubadilishi ukweli ata ubweke hadi jioni.., ulete picha za kibera mara milioni., ukweli unabakia pale pale pale, kafie mbaliEver heard of the Zombies of Nairobi ?
Watch this
View: https://youtu.be/0B_vZCLDs-M?si=ZUjEqr-bxxQljj8W
Utani gani hapo? Burundi imewezaje kuijengea Tanzania kiwanda Cha mbolea Kwa zaidi ya Bilioni 500? Vipande hivyo vya Barabara kuna ya zaidi ya pesa hiyo?Burkina Faso? Tuache utani!
Nairobi tunaijua. Inazidiwa ukubwa na Kigali, RwandaHaubadilishi ukweli ata ubweke hadi jioni.., ulete picha za kibera mara milioni., ukweli unabakia pale pale pale, kafie mbali
View: https://youtu.be/VNLqnwoJqmM
Ni wa maana siku zote,Mkoa gani hakuna vumbi?Huyo tulia amalize tu vumbi la mbeya hapo tutamuona wa maana kuliko chochote . At least tutamkumbuka kwa hilo.
Uko sahihi kabisaa mkuu.., hapo sawa heheheNairobi tunaijua. Inazidiwa ukubwa na Kigali, Rwanda
Basi tuliza kalio lako. Also remember there is no slums in Kigali, unajua hilo?Uko sahihi kabisaa mkuu.., hapo sawa hehehe