Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ila hapa wamefeli kadogosa apitie hzi bei tena unless waseme tu kua mchongoko ni kwa ajili ya viongozi na watu mashuhuri but sio kwa mtanzania wa kawaida.
Hapana hawajafeli wanalo soko linalohitaji hivo, wapo wanaopanda ndege kwenda Dodoma.Kwa sisi raia wa kawaida usafiri wa kawaida upo.
 
Tunangoja na tutakukumbusha humu! Labda route ya Bukoba!
 
Kwani ni mimi ndio nilisema ati Tanzania inapika their economic data ama World Bank and IMF? Mbona unaniletea hasira zako wakati wenye walisema hivo unawajua? Should I give you their mails to express your anger and disapproval?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
These guys enjoy sealioning. Anajua ukianza kujieleza atakusumbua na maswali za ujinga Hadi ukasirike na hapo atajiona mshindi. Aende akaulize World Bank na IMF.๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Wachawi wamekazana na ooh mara nobody trusts Kenyan economic figures when in real sense Tanzania pekee ndio nchi imekuwa flagged for 3 consecutive years for cooking their figures both by World Bank and IMF๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kenya ni mtoto wa beberu hivyo beberu lazima amlinde mtoto, nakudokeza๐Ÿคฃ
 
Unajua nina miliki accounts ngapi wewe bundi?

Owner wa hiyo account ni Mnigeria. Nimekwambia, lete source ya hiyo habari, simple.
 
Ujio wa treni umefanya watu wengi waache kuendesha wanapanda treni. Hio ni ile servive ya kawaida. Hata wanaopanda mabasi wameacha kwasababu nauli ya treni ni sawa na ya bus. Hakuna watu wapya wa kuacha kuendesha wapande EMU. Akili yao watu wataacha ile service ya kawaida wapande EMU. Tusubiri muda utaongea. Mtu atoe 300,000 si bora aendeshe maana gharama ni ile ile na ukifika DOm au Moro unakuwa na gari yako ya kupigia misele. Watu waliachana na magari kwasababu ya unafuu wa gharama. Tujipe muda tutaona kama itajaa hio huduma ya 150k.
 
Nyie subirini. Hamtaamini macho yenu
 
Ukiona unabweka hivi, jua Wewe si abitria mtarajiwa wa hii hudumaโ€™ wacha waheshimiwa na Ma-CEO wapumue kidogo!

Hata Airports kuna Business/VIP Lounge kwa ajili ya wale walio tayari kulipia!
 
Corporates, serikali na affluent Tanzanians watalipa na kuijaza shida nini mkuu ni EMU ama kuna kingine? ๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ