Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leta miradi acha kutuletea vijiripoti tunataka Leo tujadili uhalisia sio ripot
 
Nenda kadanganye wakenya wenzako. Tanzania ni nchi ya wasomi
Hizi ndizo taarifa za domain ya henleyglobal.com any person can create domain like this with only $10

 
I have so many.
Dalili ya kushindwa mjadala ni kuanza kurudia rudia isssue ambayo is not corrent.
Wewe leta Assets value ya nairobi unaogopa nini?
 
Hata mimi naweza tengeza taarifa zangu, zamani kipindi mnatumia hiz kwenye battle ndio mlitusumbua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ we know our country better.
 
Leo ni uhalisia hivi Kenya nzima mnaproject ngap za kuzalisha umeme Leo tuziorodheshe 🀣🀣🀣
Leo tunataka uhalisia sio cooked data
Are you aware 9.9M customers in Kenya are connected to electricity while Tanzania it’s only 3.5M? Are you aware of that?
 
Hata mimi naweza tengeza taarifa zangu, zamani kipindi mnatumia hiz kwenye battle ndio mlitusumbua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ we know our country better.
Kwani kuna mwenye amekuzuia kutengeneza? Tengeneza hiyo yako utuonyesheπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£

 
Hata mimi naweza tengeza taarifa zangu, zamani kipindi mnatumia hiz kwenye battle ndio mlitusumbua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ we know our country better.
Teargas bado anaishi kwenye ulimwengu wa 1992.
WordPress is there just buy domain na unaweka unachotaka. 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Umeishiwa Contents. vagabond kama nyie mnaumia bila sababu yoyote.
 
Hata mimi naweza tengeza taarifa zangu, zamani kipindi mnatumia hiz kwenye battle ndio mlitusumbua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ we know our country better.
Halafu hawajui Tanzania inaijua Kenya kuliko hata wanavyoijua , Tanzania ikipelekea kusomesha sana watoto Kenya wakiwemo wapelelezi miaka ya 1990 tukawajua in and out ila wenyewe hawajui chochote kuhusu tanzania
 
I have so many.
Dalili ya kushindwa mjadala ni kuanza kurudia rudia isssue ambayo is not corrent.
Wewe leta Assets value ya nairobi unaogopa nini?
Zipost basi tuone. As of now, this is what recognized globally mpende msipendeπŸ‘‡πŸ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…