President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Mchuchuma Coal Mine and Liganga Iron Ore Project unatoa wewe. Kama huna taarifa uliza uzaidiwe.kwani zilinunuliwa kwa loan?? π π π
si tumeambiwa ni cash deal ama mm sijui
Okay, walijimilikisha stend ya Ubungo na hawakujenga hata choo! Walitolewa kwenye mifumo ya kujipatia pesa haram kilio kikawa kingi sana. Nchi jirani gani anaongelea huyu Maku?Ndio hao hao. Enzi za baba yao kila kitu walikuwa walikuwa wana own. Makusanyo yote ya Local Government yalikuwa yanaingia kwenye mifuko yao. Halafu leo anakuja hapa kutukana.
Wanadhani tumesahau. Wajitokeze kwenye media tena kama walivyokuwa wananyanyasa watu, tunazaa nao. Walikuwa wamejitengenezea Lindi empire.Okay, walijimilikisha stend ya Ubungo na hawakujenga hata choo! Walitolewa kwenye mifumo ya kujipatia pesa haram kilio kikawa kingi sana.
Halafu yuko hapa anaongea ungese, what an asshole!
Kinjekitile Jr
Maokola Majogo-what-what! okay, ndio ilikuwa campani ya hawa wangese. πWanadhani tumesahau. Wajitokeze kwenye media tena kama walivyokuwa wananyanyasa watu, tunazaa nao. Walikuwa wamejitengenezea Lindi empire.
Kingunge alienda na maji,
Membe nae maji yalimchukua
Nape anataka kujitutumua
Kuna mwingine alikuwa waziri wa Ulinzi some body Majogoro.
Na atulie aache watu wafanye kazi. Kama walishindwa kushiba kipindi chao. Sasa ziyo
Peleka mjadala wa internal affairs kwenye majukwaa husika. Msituharibie uzi. StupidNaona kuna watu wanajaribu kujustify madeni, wanasahau huwa wanajitapa na domestic revenue ya 2trl kila mwezi.
Wakati tunapigwa tozo mbona excuse ilikua ile ile kujenga miundombinu, tena hiyo hiyo miundombinu mnaileta kujustify deni lenu la 50 Trilion?
Muda huo huo Kuna mtu atakwambia ni miradi ya lipstick anasema Magufuli aliharibu kupeleka pesa miradi ya lipstick. Akihojiwa kuhusu deni anaisukumiza miradi aliyokua anainaga eti haifai.
Mshajikanyaga sana.
And nimekuona mpaka mnaleta BOT kununua Dhahabu inamaana Domestic revenue haipo hata ya 1 Trilion kununua Dhahabu mpaka tukope?
Huyo Magu aliwadanganya sana nyie baadhi ya Watanzania ambao ni wajinga kama nyieHii kima π "Kinjekitile Jr" ni jina tu ama ni mtoto wa kile kizee kichawi "Kingunge"?
Alikuwa anaanzisha miradi halafu Hana pesa! Matokeo yake akabakisha propaganda!Huyo Magu aliwadanganya sana nyie baadhi ya Watanzania ambao ni wajinga kama nyie
KAMA ANGEWEZA KUANZISHA DINI YAKE BASI LEO ANGEKUWA NA WAFUASI WENGI MATAHIRA KAMA NYIE NA MNGEMUITA MUNGU
Jina la Tanzania kimataifa lingekuwa na faida gani kama kungekuwa hakuna umeme wa kutosha na miundombinu ya barabara na madaraja hao wakenya wanajina zuri sana Kwa western lakini mikopo ya reli na uwaja wa Mpira wanaenda kuchukua china huko kwingine wanapata sifa tuKwani kuna kiongozi aliyeharibu jina la Nchi hii kimataifa zaidi ya Magufuli!? Yani huyo jamaa ametufanya Leo ukienda Nchi jirani wanakuona Kama Mrundi,Mnyarwanda au Mcongo tu
JIWE anapaswa kusomewa makosa yake ata akiwa wapi
KAMA HUWEZI KUSAMEHE BASI LIPA KISASI
Kuna miradi ya vipande vya reli ya SGR phases zilizobaki, poa uboreshaji wa huduma za afya na elimu nchi nzima, manunuzi ya ndege za ATCL na uboreshaji na ujenzi wa viwanja vya ndege nchi nzima, barabara za Lami zinajengwa nchini kote.Kwaiyo ndo trillion 50?
For a fossil train that ls very expensive indeed πyani 326 km ita cost 5b usd hahahah kenya ni maiti aiseee ππππ
View: https://x.com/citizentvkenya/status/1853139398268739671?s=46
View: https://x.com/jatelaw/status/1853154294595256680?s=46
View: https://x.com/gachokakinya/status/1853146097637564920?s=46
View: https://x.com/maichdavie/status/1853148437945917613?s=46
View: https://x.com/kagwainy/status/1853150790170366182?s=46
View: https://x.com/abed_mf/status/1853139563767906798?s=46
Huna hoja wewe hater.Naona kuna watu wanajaribu kujustify madeni, wanasahau huwa wanajitapa na domestic revenue ya 2trl kila mwezi.
Wakati tunapigwa tozo mbona excuse ilikua ile ile kujenga miundombinu, tena hiyo hiyo miundombinu mnaileta kujustify deni lenu la 50 Trilion?
Muda huo huo Kuna mtu atakwambia ni miradi ya lipstick anasema Magufuli aliharibu kupeleka pesa miradi ya lipstick. Akihojiwa kuhusu deni anaisukumiza miradi aliyokua anainaga eti haifai.
Mshajikanyaga sana.
And nimekuona mpaka mnaleta BOT kununua Dhahabu inamaana Domestic revenue haipo hata ya 1 Trilion kununua Dhahabu mpaka tukope?