The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,668
- 99,003
Na umejaa kwenye mfumo mbwa wewe π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Hakuna maana bwawa alikamilisha Shangazi Yako ππ
Hayo madaraja hapo Juu alikamilisha dada Yako
Ikulu nayo ni bi mdogo wako amekamilisha.
Tusiongelee mate πHawa waropokaji wengine huwa nawakaushia tu, flyover inajulikana imeanza chini ya magu na kaimaliza mwenyewe, mtu anakuambia aliianzisha kikwete, hii yote ni kwasababu ya kutafuta nafasi ya kulamba teuzi tu au upigaji tu ndo maana unaona ukosoaji wa magu umeshika kasi namna hii.
Nimeona kuna sehem mtu anakuambia EACOP ni mpango wa TOTAL na kwamba bila jitihada za serikali hili bomba lingepita tu Tanzania, hivi hawa watu wanataka kutufanya sisi ni mazoba na kwamba hatujui miradi mingi iliyotakiwa kuwa hapa ilienda kenya? Ofisi nyingi za kimataifa zilipelekwa Kenya wakati Arusha ipo na ni sehem salama? Waache ujinga kwenye credit mpe mtu hata kama humpendi.
Hawa vijana wangekuwepo kipindi cha Nyerere si wangempa uraisi wa maisha Hawa π€£π€£π€£π€£Vijana hawataki kuelewa hii, kila awamu hufanya vitu kuvutia awamu yake. πππ
Vijana wanataka awamu iliyopo isifu awamu iliyopita! We umewahi kuona wapi!
Someni siasa vijana, msitumie mihemuko kubishana.
Nyie ndio hamsemi ukweli Tazara flyover contract wa signed October 2015 na Sumitomo ya Japan haya niambie Magu alikuwa Raisi muda huo?So, siasa inakufunza kuwa mnafki usiseme ukweli? Africa inaharibu sana maana ya siasa.
Leta ushahidiVP Aliwahi enda pale Bwawa la Nyerere walimpa taarifa kwamba Kuna ujenzi wa chini ya kiwango ulifanyika so Serikali ikalazimika kutumia na kujenga upya ,waliopinga pesa wapo.
Kwa taarifa yenu tuu,hayo mamiradi makubwa makubwa ndiko watu wametajirikia.
Anyway tugange yajayo Ndio Nchi yetu hii Haina utaratibu wa kuwajibishana so Kila mtu mwenye nafasi ya Kisiasa anajilia kadiri ya fungu lake.
Malawi hatumii bandari zetu? We jamaa huwa ni muongo sanaYakishaisha itabena nini? Hakuna Cha Mtwara development corridor,hapo Kuna Bandari za Mozambique eg Nakala nk ziko jirani na Malawi/Zambia kuliko Mtwara na ndio maana Malawi hatumii Bandari zetu.
Hiyo section ya Makambako -Mtwara ni Kwa Ajili ya DRC zaidi.
Wale jamaa wa north wanaojita big economy mbona siwaoni?
Atakuwa chizi huyo sio bureMalawi hatumii bandari zetu? We jamaa huwa ni muongo sana
Malawi ni moja wa watumiaji wakubwa wa bandari ya Dar
Vijana na mihemuko ya ajabu kweli. πππHawa vijana wangekuwepo kipindi cha Nyerere si wangempa uraisi wa maisha Hawa π€£π€£π€£π€£
Una uhakika? Hata Lani Laki 2 hafikishi Kwa mwakaMalawi hatumii bandari zetu? We jamaa huwa ni muongo sana
Malawi ni moja wa watumiaji wakubwa wa bandari ya Dar
Watakuambia Mkenya akiongea maneno 1000, chukua moja uwache 999 yet when Kenyans criticize their governent they'll share it like it's straight from the gospels. π π πThatβs a Kenyan who just need interactions, ama ulidhani she is a certain girl outside Kenya?πππ€£
We jamaa huwa unawaza kutumia nini? Malawi ni mmoja wa wateja wetu wakubwa. Mwaka uliopita tu walipitisha mizigo ya Tani zaidi ya laki 4Una uhakika? Hata Lani Laki 2 hafikishi Kwa mwaka
Malawi ni mteja mkubwa tu wa bandari ya Dar, mwaka uliopita tani zaidi ya laki 4, mwaka juzi Tani zaidi ya laki 5Atakuwa chizi huyo sio bure
Sio kweli, miradi mingi tu wakati wa magufuli ilikamilika hapa nitakutajia kwa uchacheAlifungua nani na baada ya nani kukamilisha ujenzi?
Usitusumbue,hakuna kitu Mwendazake alikamilisha Kwa miaka yake 5.5
View: https://x.com/TanzaniaYaMama/status/1817558841568932110?t=0_swK51VCsAbVlVGGLi2qQ&s=19View attachment 3144923