Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sawa wewe nipe Delta Corner yenu basi alafu mimi nitakupa Central Bank. :-D
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kaogopa kuleta bank of kenya hahahahahaha
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kaogopa kuleta bank of kenya hahahahahaha

Hakuna jengo liitwalo Bank of Kenya. Acha utoto. NUmepost jengo nikakupa jibu. Hivi majengo yashaisha Dar unaleta siasa? Post lingine nikupe jibu.
 
Bank of Kenya ni wapi tena?????Si ulisema umeishi Kenya??? All Along I knew hata hujatoka nje ya kijiji chako cha ujamaa.... Bank of Kenya everybody
KCB


 
hio hapo bank of kenya usijitekenye mwenyewe πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
ngoja niende nao sawa hawa wanataka kujifanya wanadharau sana wanailazmisha dar iwe ya 90s hawataki 2017

Dar Bado kijana.... Ona hata Maputo vile inainyoosha Dar kirahisi
Darislum

Maputo
 
naenda kuswali alafu narudi leo nitakula nao sahani moja mwanzo mwisho
 
Dar Bado kijana.... Ona hata Maputo vile inainyoosha Dar kirahisi
Darislum
View attachment 486141
Maputo
View attachment 486144
maputo hahaha ni mji mdogo sana my friend hahahahahaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ 346 km sq kwa 1590 km sq dar .................nairobi umeshindwa umekimbilia kwa watu hahahahahah usijikanyage bana hahahahaha

Maputo
LourenΓ§o Marques

City

View of the city from Katembe

Flag


Maputo
Location in Mozambique
Coordinates: 25Β°58β€²S 32Β°35β€²ECoordinates: 25Β°58β€²S 32Β°35β€²E
Country Mozambique
Founded 1782
City status 1887
Government
β€’ Municipal Council President
David Simango
β€’ Governor Iolanda Cintura
Area
β€’ City
346.77 km2 (133.89 sq mi)
 
kwanza bank of kenya umeiona hahahahahaah au umebadilisha topic tayari πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ tumeingia maputo
 

Tihahahhaaaaa.... I smile at your ignorance my friend.... I am sure you are brutally hurt in heart right now....Have you tried a hand in stand up comedy??? ?
 
pamoja mm nawajua hawa nje ndani nimetembea sana kwao na hakuna kitu watadanganya humu hahahahah

Hakuna.... wewe hujafika hata border. Ukianza kusema Bank of Kenya alone that disqualifies you from anyone who has come to Kenya. Try something else. Lying is not in your DNA. Maybe you can try netball.....
 
Tihahahhaaaaa.... I smile at your ignorance my friend.... I am sure you are brutally hurt in heart right now....Have you tried a hand in stand up comedy??? ?
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hutaki au sio hapa hauzugi baba tutaenda sawa na utaelewa tu
 
Hakuna.... wewe hujafika hata border. Ukianza kusema Bank of Kenya alone that disqualifies you from having come to Kenya. Try something else. Lying is not in your DNA. Maybe you can try netball.....
nimekuja nimetembea ndio maana nakwambia nairobi ndogo sana tena sana kwa dar hakuna kitu utanifundisha humu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nimepita sana lungalunga na sirare border
 
nimekuja nimetembea ndio maana nakwambia nairobi ndogo sana tena sana kwa dar hakuna kitu utanifundisha humu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Bado.... Tihihihi.... Don't try lying. It's not your cup of Tea... How many foot bridges for example do you pass by on your way to the cbd from Mombasa Road? ??
 
let me go pray tutakutana baadae inshallah mchana mwema wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…