Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Soko la ndani where 95% of all cargo terminate at Dar is Slum?😂😂😂
 
DRC will never abandon Congo Republic for Vumbistan, 90% of their cargo go through Congo republic 😂😂
All minerals in Congo DRC are in Eastern Congo. Huko western congo hakuna Minerals. 🤣🤣🤣
Eastern Congo borders Tanzania and there is no infrastructure to Western Congo
Tanzania is the only hope to export Congo DR minerals
 
All minerals in Congo DRC are in Eastern Congo. Huko western congo hakuna Minerals. 🤣🤣🤣
Eastern Congo borders Tanzania and there is no infrastructure to Western Congo
Tanzania is the only hope to export Congo DR minerals
Pole kwako, tutafikisha SGR DRC kabla mfikishe yenu huko😂😂
 
I thought ulitaka kunirekebisha muundo wa sentensi kumbe ni typing errors zenye unafanya kila siku. 😂😂😂😂 wewe ni mpumbavu.
 
Wakati Tanzania inapekeka reli yao Burundi with a potential of less than 500k tonnes in a year, Kenya inapeleka reli yao Uganda with a potential of 8M tonnes in a year😂😂👇👇

 
So SGR ziko kwa hizo ports zote?😂😂😂
Sasa hivi tumefika Dodoma.
Tunaenda Mwanza Port - Tunabeba mazoa kutoka kanda ya ziwa na kuyasafirisha inland Tanzania (Rwanda and Uganda)
Tunaenda Kigoma Port - Tunabeba mazao toka Wetern Tanzania na kuyadambazi (From Burundi and Congo DR)

BANDARI YA KAREMA Connect with Karemi Port of Congo DR.
 
Umeishiwa contents
Hapa ni logic tu. Ukiangalia this statistics utapata kwamba the total Burundian cargo passing through Kenya and Tanzania is only 590k tonnes😂😂😂.

Uganda on the other hand is 8M.

 
Burundi annual cargo can’t even fill one berth at Mombasa😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…