Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bado.... Tihihihi.... Don't try lying. It's not your cup of Tea... How many foot bridges for example do you pass by on your way to the cbd from Mombasa Road? ??
tena mombasa ndio hakuna kitu kabisa yani nyamaza kabisa kuhusu mombasa wewe shikilia nairobi huko usiguse kabisa huko hahahahhaha😀😀😀😀😀😀😀
 
Hahahaa.... Achia hapo you liar. Nimekuuliza swali ukaanza blah blah Mombasa.Hata hujaelewa nimekuuliza nini. Nenda kazamie huko huko and Never lie to the world Another day. You still have life ahead of you. Now you can pray for your sins
 
kwanza bank of kenya umeiona hahahahahaah au umebadilisha topic tayari 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 tumeingia maputo
Jamaa umemwambia alete jengo la Central Bank of Kenya yeye kaleta jengo la Kenya Commercial Bank,,,teh teh
 
Hahahaa.... Achia hapo you liar. Nimekuuliza swali ukaanza blah blah Mombasa.Hata hujaelewa nimekuuliza nini. Nenda kazamie huko huko and Never lie to the world Another day. You still have life ahead of you. Now you can pray for your sins
hahhahahaah ukweli huupendi wewe inaonekana😀😀😀😀😀😀😀 japon unauma lakini stahmili basi hahaha katika wakenya wanaonifurahisha sana ni wewe na edward wanjala 😀😀😀😀😀😀😀
 
Jamaa umemwambia alete jengo la Central Bank of Kenya yeye kaleta jengo la Kenya Commercial Bank,,,teh teh
sio hajui au hajaelewa kaelewa sana sasa anazuga ndio walivo hawa hahah hawanipi tabu mimi😀😀😀😀😀😀😀
 
Darislum is the largest city in the world
View attachment 485936
Yeah this is how a city has to be
Such a big city,if only yu can see a large part of buildings built
Na hyo ni arial view ni ni about 3km above. In that heightkila nyumba zilizo karibu zitaonekana zimegusana na apo ndo utazan ni slums kwa mwenye akili isiojua vizuri
You shoul visit dar somedays
 
Mbona battle ya jengo mojamoja hamtaki????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…