Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuanzia viongozi wao hadi wananchi wote ni matapeli tupu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

sasa hvi hakuna uwajibikaji wala anaewajibisha kila kitu kunajiendea tu alimradi siku isonge miaka ipotee
kwasasa tumehamia kwenye kusifiana na kukopa mikopo ovyo ovyo tu
 
sidhani kama atanunua tena bamburi coz tayar alibadilisha maamuzi ya kujenga kiwanda cha cement tanga na kuongeza upanuzu wa mbeya cement
 

Perspective "to"πŸ€”
Nifundishe kitu hapa.
 
Shirika la ndege πŸ‡ΉπŸ‡Ώ limepata kibali cha wadhibiti wa anga πŸ‡¨πŸ‡³ kusafirisha mizigo toka Dar es Salaam-Guangzhou. Ndege ya mizigo ina uwezo wa kubeba tani 54 na inaweza kuruka hadi saa 10 bila kujaza mafuta, safari kuelekea πŸ‡¨πŸ‡³ inatarajiwa katika wiki zijazo, maafisa wakuu wanasema.

Air Tanzania has received approval from the Chinese aviation regulators to transport cargo from Dar es Salaam to Guangzhou. The cargo plane has a capacity of 54 tonnes and can fly up to 10 hours without refueling, while its flight to China is expected in the coming weeks, top officials say.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…