Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sisi tumeshatoka huko stadiums kumilikiwa na serikali. From next season all premiership clubs should have their own stadiums.
Hamna huo uwezo. Alafu why are you contradicting yourself? One part unasema mshatoka huko and the other part unasema from next season. So which is which?
 

Don’t hide behind watu kushangaa, the main point ni kwamba watanzania wengi wameipandalicha ya wewe pamoja a wachawi wenzako wengi JF kusema hakuna mtanzania anawezapanda those lorises.
 
Near Mkapa there is a Military base, Dar es Salaam university of Education, mandela road, a small BRT terminal, south kawawa roads and kilwa roads with BRT systems.
Labda una mkapa yako kichwani
 
Hamna huo uwezo. Alafu why are you contradicting yourself? One part unasema mshatoka huko and the other part unasema from next season. So which is which?
Focus yetu haiko huko tena kwenye Council stadiums bali kwenye teams kumiliki stadiums na hata hivyo several teams kwenye premiership zinamiliki stadium's zao mpaka sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…