Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So, unashangaa shamba kuwepo dar? Kwani Nairobi hakuna mashamba? Kaeneo kenyewe kadogoo only 600 sqkm na bado kuna mbuga ya wanyama 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Tuletee habari ya mashamba(farming land) kuuzwa Nairobi tuone
 
So, unashangaa shamba kuwepo dar? Kwani Nairobi hakuna mashamba? Kaeneo kenyewe kadogoo only 600 sqkm na bado kuna mbuga ya wanyama 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Dar ni ushago na uswazi 90% 🀣 🀣
 
Mashamba ya mihogo yaleee 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Unafikiri Nairobi ni Dar yenye mashamba ya mihogo? Au nikuletee picha za mashamba ya mihogo ndani ya Dar?
 
Walichobaki nacho ni ku host draw tuu ili na wao wapate neema za CHAN 🀣🀣🀣
Jana mmoja wenu alisema hata hiyo draw haitafanyika Kenya. Less than 24 hours later, the storyline has changed to it's the only thing we'll do.

Do you guys remember when you said we'll not even construct talanta Stadium? Ile mshtuko itawapiga wakati tukihost both opening and closing ceremonies bado inapiga press-ups!!
 
Kwahiyo mnajidanganya halafu mnajichekesha πŸ˜‚πŸ˜‚ hiyo Tanga tu my hometown unayo Toyota show room.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…