Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hivyo we pumbavu unadhani hatuna any stadium nje ya Nairobi that can be ready for AFCON. 🀣 🀣 Unasahau tukona stadiums nyingi kuwashinda.
Sio tu any stadium bro, it’s a stadium that has the quality of hosting Afcon. πŸ˜‚πŸ˜‚ hizo any stadiums we have them all around the country.
 
You have cow sheds around the country.

Post your top 10 Stadiums in Tanzania sisi pia tu post top 10 za Kenya so that we can do the comparison.
 
Hizo za kenya zinaeza host Afcon ukiachana na zile mbili za Naipori.? πŸ˜‚
 
Kwa hivyo we pumbavu unadhani hatuna any stadium nje ya Nairobi that can be ready for AFCON. 🀣 🀣 Unasahau tukona stadiums nyingi kuwashinda.
Wakenya mme invest sn kwenye uchale 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…