Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
sina pichawapi city taxi za kisumuπππ
Eh bwana eh kuna na hizi bwana
Airport yenu hiyo unaanza kuikana anyway nitakuja kunywa kokakola nimeona tangazowapi imandikwa airport? πππhilo duka nimeona pahali pamandikwa cocacolaππ
pwahahahahha Mwanza skyscrapers
yap zipo boda boda za baiskeli, pikipiki na taxi za gari...lipi jipya hapo?πππhata Nairobi hizo baisekeli zipo tele...ila haimaanishi kuwa hizo ndizo zinazotumika taxi ππππhzi hapa broππππ
View attachment 654978 View attachment 654980 View attachment 654981 View attachment 654983
ur very childish you guy...Mombasa
nioneshe taxi gari za kisumu nasubiriaπππyap zipo boda boda za baiskeli, pikipiki na taxi za gari...lipi jipya hapo?πππhata Nairobi hizo baisekeli zipo tele...ila haimaanishi kuwa hizo ndizo zinazotumika taxi ππππ
Hivyo ni viota vya ndege ama sioni vizurNimeanza usikimbie sasa. Maana nimekupatia sekunde chache umeanza kubweka.
Real life in Kenya DC country (Old stone age life)
naweza nikaleta picha za taxi kutoka kisumu ila sijui vile nita prov kwamba hizo picha ni za Kisumu....taxi za Kisumu zinafanana na taxi zingine tu wala hazina jina Kisumu Taxi...we jua tu kuwa kuna taxi Kisumu....tena tele...huwezi kuniambia mzungu anashuka toka Kisumu airport kisha anabebwa na baiskeli mpaka hotelini...hapo utakua punguani kufikiri hivyonioneshe taxi gari za kisumu nasubiriaπππ
sijapata kuona jiji duniani lenye taxi baiskeli sijapata kuonaπ zaidi ya kisumu na eldoret na nakuru
Mwanza kubwa sana kwa Mombasa. Twende na Unguja uone mambo wewe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah!hili jina lipo fun sana....ukunda...kidogo nitamke "u-k*ndu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
karibu sodaAirport yenu hiyo unaanza kuikana anyway nitakuja kunywa kokakola nimeona tangazo