Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Runni

Running tracks za kazi gani sasa,
Ama masherehe za taifa with men na masufutia yao na simiti kwa mgongo!!!
Huo ni uwanja wa Taifa, na Dodoma ni capital city, na huo Ndio uwanja pekee wa kisasa in the city, unaachaje kuufanya kuwa multipurpose.? Lazima standards za hapo ziwe ni za olimpic. Watakapo jenga uwanja mwingine Ndio wajenge huo wa mpira tu.
 
Uwanja wa Football peke zinajenga clubs na siyo Government
 
Kwa anayefahamu kuhusu Magufuli City Dodoma Je
1. Total cost ni ngapi
2 Ina phase ngapi
3. Ni administrative capital tu ? au itakuwa na technopolis itakuwa smart city ? au ni purely administrative tupu
4 Kuna mpango wa kuwa na vyuo, au kitu chochote technology/ict realted
 
Utekelezaji wa awamu ya 2 ukianza bila shaka watasema ila kinachojukikana Kwa Sasa ni makisio ya gharama zote za project nzima.hadi.kukamilika.

Aidha awamu ya kwanza gharama zimeshaelezwa hapa na kwamba soon Watanzania awamu ya pili 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DFx6ExXt1Ra/?igsh=YTBiZHM1eXU2d2ln
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…