Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndovu mweupe. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ na sasahivi bandari ya bagamoyo itajengwa, ikikamilka basi jamaa watatumia lamu port ku dive kama pale forozani Znz wanavyopiga makachu. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Wanatupigia kelele na stadium yenye hata haitakuwa na seats alafu baadala wachore circle in the middle of the pitch hao wamechora octagon๐Ÿ˜‚

View attachment 3235885
That circle is a structure of a Benzene ring,
Ulivyo kilaza unadhani uwanja utajengwa at the cost of $120m without modern amenities? Are all Kunyans this stupid ?
Nlidhani ni pesa tu huna, kumbe hata akili huna. Young man.
 
hana akili huyo, kama waliyajua haya buguruni kwenda ilala unaeka njia moja ya magari walitegema nn, yani wanaruka mkojo wanakanyaga mavi, badala kufkiria namna ya kupunguza foleni wao ndio kwanza wanatengeza foleni ili wapige pesa, highway kama pugu road tunaenda kurudua makosa ya kujenga barabara mbili za magari ya kawaida hehehe haya sie tupo

kapewa uwaziri juzi sasa kashakua chawa pro max ultra ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
hata mm siafiki kua na uwanja wa 100k kwa dodoma hata kwa africa vile vile.

wewe unaonaje?
 
kaka badilika kuishi US haina maana usifie kila kitu, kwa sasa hakuna nchi inaeza sogeza pua hata kwenye technology industry kwa mchina. na huo ndio ukweli
 
The render posted today just shows people standing na hakuna viti anywhere around the stadium.

na ww kwa akili yako unaona ni hvo? yani kuumia kote umeshindwa kujizuia hata na hili jambo dogo ? yani tujenge modern stadium karne hii tusiweke viti unless ww ni kichaa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ