Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa nilipo nachekea chooni 🤣🤣🤣🏃🏃🏃
SADC Ina nguvu kuliko EAC,and mind you wakundustan,Tanzania has more influence in SADC than any country in it.

View attachment 3235784
Tanzania tupo pande zote mbili sasa wanatuweka njia panda,kwa Congo najua itakwenda SADC. Huyu mzee kaongozana na wabunge zaidi 100 kwenda Ethiopia kwenye kampeni si ufisadi tupu na akipata itakuwaje afadhali adondoshwe tu😁😁
 
This is what happened to it, in case you forgot or you aren't from Zanzibar
 
wewe ni mpumbavu wa mwisho acquire inatokana na neno Acquisition, a business term! A business transaction that involves a transfer of owneship of companies, business organizations, or their operating units! Sasa sijui unanifundisha nini mimi nyoko wewe! Huyo Mpumbavu wenu alikuwa na nafasi ya ku-negotiate na Wachina badala ya kuvunja mkataba! Sasa tunaletewa Wahab kumiliki bandari zetu!
 
Ni yeye hajatembea, there are numerous resorts on the Kenyan side of lake Victoria like this Takawiri Island. Also remember the section of the lake in Kenya is tiny compared to what is in Tanzania and Uganda.

sasa hizo nyumba za tope ndio unafananisha na what Mwanza has to offer?
 
Sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…