ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kwanza valentines ni upuuziIs it God punishing Africans that we are led by idiot leaders!!? M23 Jana wameingia Bukavu,Cha kushangaza Tshisekedi yupo ulaya anasherekea valentine's day na mke wake🤔🤔
View attachment 3236749
Ni upagani,na mwanaume anayesherekea huu useng* ni shoga tu🚮Kwanza valentines ni upuuzi
Hamna real estate company kubwa zaidi ya NHC East Africa!Kwani zile gorofa zinajengwa kila corner Kenya huoni? Tanzania hakuna gorofa hata moja ya 20 floors plus inajengwa. The last time mlijenga gorofa ya 20 floors plus ilikuwa 2017.
wacha ujinga!Is it God punishing Africans that we are led by idiot leaders!!? M23 Jana wameingia Bukavu,Cha kushangaza Tshisekedi yupo ulaya anasherekea valentine's day na mke wake🤔🤔
View attachment 3236749
How?wacha ujinga!
yaani asimpe maua mkewe!How?
So, kinachoendelea kule Congo hakimgusi kabisa!! Wacha kutetea ufalamanga, huyu mbwa hapaswi kupewa support yoyote, inaonesha anakula 10% kwenye hizo vita za Congo, au kama tukimpa support tuhakikishe tunajilipa.yaani asimpe maua mkewe!
Kwanini asihudhurie mkutano wa AU kuhusu usalama wakati nchi yake ipo vitani?yaani asimpe maua mkewe!
alihudhuria mkutano mwingine Munich! Isitoshe katuma mwakilishi AU!Kwanini asihudhurie mkutano wa AU kuhusu usalama wakati nchi yake ipo vitani?
Mitandao ina upotoshaji mwingi, verify kwanza kuwa picha ni ya lini kabla ya kumshambulia.Is it God punishing Africans that we are led by idiot leaders!!? M23 Jana wameingia Bukavu,Cha kushangaza Tshisekedi yupo ulaya anasherekea valentine's day na mke wake🤔🤔
View attachment 3236749
Yani KFC kufungua branch Tanzania inakuwa tu big news hivi? Kumbe mlikuwa mnatamani tu KFC lakini mlikuwa mnajifanya tu. Leo hii it’s a big news that has been trending for a week now.
Kampeni za Kagame mitandaoni zinawabeba ufala watu!Mitandao ina upotoshaji mwingi, verify kwanza kuwa picha ni ya lini kabla ya kumshambulia.
How many projects have they done we compare it with our NHC in Kenya? Ama unafikiria Tanzania pekee ndio iko na NHC?Hamna real estate company kubwa zaidi ya NHC East Africa!
Mbona pitch inarudi kwa Uchakavu. Ule wa Mwazo. Maji hawana?