Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

But he lives in Tanzania na wala hafikirii kuondoka. I know him..ameishi Tanzania toka 2010 huko na hana hata mpango wa kusepa.

Ukiona mtu anaponda sehemu anayoishi na ujue anataka kuwe better zaidi.kitu ambacho hata sisi tunafanya hapa.
 
Kama kenya exports more to Tanzania..show us any evidence...wanatumia njia gani kama border zote za kenya na Tanzania...I always see Tanzania side full of tracks destined for kenya
One day visit Namanga or Holili you will see... sometimes kenyan side hakunaga hata roli Moja. How do you export your things to Tz? Mnatumia ndege au?
 
Most of your 'exports to Kenya' are actually from Kenyan owned farms from leased land in Bongolala. Most of those Tanzanian registered trucks in Namanga are owned by Kenyans. Yafaa utembee huko ndio uelewe what's really going on. Usikae tu Tandale.
Kenyan owned farms ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Wakenya ni vichaa kweli.
Do you think Tanzania is kenya where they allow foreigners to own more 50 percentage of land while 70% kenyans live in slums
 
But he lives in Tanzania na wala hafikirii kuondoka. I know him..ameishi Tanzania toka 2010 huko na hana hata mpango wa kusepa.

Ukiona mtu anaponda sehemu anayoishi na ujue anataka kuwe better zaidi.kitu ambacho hata sisi tunafanya hapa.
Ni kweli we want better than this nadhani wao wameridhika Bongo wanayoona wao imeendelea na inawatisha sisi tunaona bado sanaaa me niwaambie Hawa watu wana roho nyeusi kama sura zao.
 
Most of your 'exports to Kenya' are actually from Kenyan owned farms from leased land in Bongolala. Most of those Tanzanian registered trucks in Namanga are owned by Kenyans. Yafaa utembee huko ndio uelewe what's really going on. Usikae tu Tandale.
Unaruhusiwa kujifurahisha.
 
Ndio nasemaga EAC kuna ujinga mwingi.

Msimamo wangu ulikua ule ule Kufunga mipaka ya Rwanda na Uganda kijeshi hadi waasi wapotee alafu wakipotea.

Fukuza wote wanaojifanya Wanyarwanda na waganda nchi yao.

Yaani mtu anajiita Mnyarwanda nchi yako huku anataka awe sehemu ya nchi kama si ukichaa. Aende nchi anayojinatibisha nayo.

Kwamba Mrwanda aseme yeye anahaki ya kua Tanzania il Kama Mrwanda na Si mtanzania.

Ni kutimua wote.
 
Most of your 'exports to Kenya' are actually from Kenyan owned farms from leased land in Bongolala. Most of those Tanzanian registered trucks in Namanga are owned by Kenyans. Yafaa utembee huko ndio uelewe what's really going on. Usikae tu Tandale.
Part two ya "Mtanzania anayejifanya mkenya".

Tulitoka

Unclassified Road
Mtanzania anayejifanya mkenya Now Kenya owned Farms.

Kijana hebu njoo ulease shamba na ulime tuone.

Unadhani vitu vinajipa kirahisi hivyo?
 
Aonyeshe mabasi na Taxis za Ethiopia! Kurekodi areas za hotels tu tena za AU City hazi-reflect the whole of Addis-Ababa ambayo kuna areas foreigners hawaruhusiwi kwenda!
 
Tatzo watu wa ukanda huo uwa ni wabaguzi vichwa vyao vimejaa vita me nasema damu ya mtu aimwachi mtu salama pia dhambi ya kubagua binadamu mwenzako aitokuacha salama.

Pia kujiona wewe unastahili kuliko wengine nmeangalia na kuchunguza izo accounts za hao watu alio tupia geza ni watu ambao wanajiona ni special sana.

Ukipika vita ipo siku moja na wewe utakunywa vita ni suala la muda tu.

Nilisha wai kusema hapa EAC ni ya wanafiki wanafiki sana just imagine mwanachama anamshambulia mwanachama mwenzie alafu viongozi wamekaa kimya tu.

Kwa Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ haya makundi yakibainika ni kuteketeza akuna kubaki ata mmoja ila nachokiona kwa Congo wanahurumia waasi.
1.kikundi cha mapango ya ambano
2.wale wadau wa kibiti
3.maharamia wa Mtwara.
Watu kama Hawa ni kuwapelekea moto usilete room ya mazungumzo na waasi mbona walikimbia na hawapo.
Very sad ๐Ÿ˜ž kwa Congo people wenyewe ni kukimbia tu.
Ningekua rais wao yaan akuna mwanaume kukimbia adi kieleweke
๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
JWT ni jeshi imara vivaa Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
 
Part two ya "Mtanzania anayejifanya mkenya".

Tulitoka

Unclassified Road
Mtanzania anayejifanya mkenya Now Kenya owned Farms.

Kijana hebu njoo ulease shamba na ulime tuone.

Unadhani vitu vinajipa kirahisi hivyo?
Bro, many Kenyans lease land in Tanzania and grow crops. Huwa mnajifanya ni kama Tanzania Iko mbinguni vile yet mmelease Hadi National Parks zenu kwa Waarabu wafanye uwindaji na pia Ports zenu zote mmelease.๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Aonyeshe mabasi na Taxis za Ethiopia! Kurekodi areas za hotels tu tena za AU City hazi-reflect the whole of Addis-Ababa ambayo kuna areas foreigners hawaruhusiwi kwenda!
Hiyo Addis Ababa ni ushuzi kushoto kulia, ukitoka mita chache kutoka vile vighorofa vyao ni hovyo kabisa, kwakifupi Addis Ababa ni Nairobi iliyochangamka.

Addis Ababa

Nairobi

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ