Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
na Kisumu? Do u know some flights go to Zanzibar too?Isiolo 289Km while Kilimanjaro is 234KM. Mnajua kutumia maps kweli?
280km.na Kisumu?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Isiolo is not yet operational.
Umepima kutumia nini kijana, tuone hiyo map uliyosearch.Isiolo 289Km while Kilimanjaro is 234KM. Mnajua kutumia maps kweli?
Atakuja kukwambia Kisumu sijui water boats zinaingiza hela zaidi kuliko Azam Marines.Aawapi european flights pia Air France, KLM, Turkish airlines huwa zinaenda KIA au Zanzibar! BTW kitu gani mnaweza? Its high time mjiulize kama stats GoK inatoa zipo accurate! Hata tukienda usafiri wa majini Tanzania inawapiga vibaya mno! Kuanzia lake ports mpaka hata Sea ports japokuwa mna Lamu port ambayo haina supporting infrastructure! marine and watervessels ndo kabsaa tunaagonga vibaya mnoo! Lake Victoria half of watervassels there are Tanzanian! So is Lake Tanganyika and Lake Nyasa!
Kisumu receives more passengers than Kilimanjaro, mambo ya internet flights Mbona isiweke Kilimanjaro ipate passengers wengi kuliko Kisumu?Haya Basi tujue Kisumu inapokea flights zipi international?
Kwani watanzania wote ni wajinga? Hapa tunaongelea flight route, sio barabara za gari.Umepima kutumia nini kijana, tuone hiyo map uliyosearch.
View attachment 3246585
View attachment 3246587
kwani hakuna Rafiki 1 and 2 catamarans speed boats Lake Victoria?Atakuja kukwambia Kisumu sijui water boats zinaingiza hela zaidi kuliko Azam Marines.
Imagine.
Vessels za Azam hata hazifiki tano. Waterbus are more than 10. So yes, Water bus zinaingiza pesa mingi kuliko vessels za Azam which only operates between Dar and Zanzibar. Waterbus goes up to Uganda.Atakuja kukwambia Kisumu sijui water boats zinaingiza hela zaidi kuliko Azam Marines.
Imagine.
Another Excuse eh?Kwani watanzania wote ni wajinga? Hapa tunaongelea flight route, sio barabara za gari.
Did you ever attend any school?
A village.Kisumu
Geza Ulole umeona hii kenge.Vessels za Azam hata hazifiki tano. Waterbus are more than 10. So yes, Water bus zinaingiza pesa mingi kuliko vessels za Azam which only operates between Dar and Zanzibar. Waterbus goes up to Uganda.
Hizo flights zinazotumia Kisumu na Eldoret hutumia barabara za gari?Another Excuse eh?
If so why don't you enlighten International Flights zinazotua KISUMU, ELDORET International airports?
Hizo Rafiki ndio zipo Ziwa Victoria yes.kwani hakuna Rafiki 1 and 2 catamarans speed boats Lake Victoria?