Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nyie ndio munafuraha munaouana kwa sababu ya ugali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

na hii ni moja ya furaha yenu πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»

View: https://x.com/tonyalexirungu/status/1894276686583132212?s=46
 
From hakuna floodlights to hakuna mechi za usiku to hiyo ni international match? 🀣 🀣 🀣 Next utasema unataka kuona rocket ikiland kwa stadium usiku. 🀣 🀣 🀣
Those stadium lights are so primitive. Unakuwa na lights kwenye poles imagine uwanjani utaona crossed shadows wakati mpira unaendelea🀣🀣🀣
 
ChoiceVariable haya maneno sio yangu ni ya mkenya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
Baada ya mama wa Taifa kumaliza kazi Kwa Wasichana kazi imeanza Kwa Wavulana.

View: https://www.instagram.com/p/DGhaC68oLQ6/?igsh=YTgxcndtcWc1NTQ3
Sio tuu ni pledge Bali kazi inaendelea Kwa Mikoa 10 ya Mwanzo.

Chezea mama wewe na gestures zake za kimjini πŸ˜‚πŸ˜‚.

mi 10 tena Kwa SSHπŸ”₯ πŸ”₯
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
We mpumbavu utalinganisha hizi takataka vijumba viwili vitatu na Fumba town. .? πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸΎFumba is the new city
In the making

Huna hata haya.?
 

We kima combine these two projects, vijumba nne tano za gated community ulinganishe ni hii fumba uptown living.? πŸ‘‡πŸΎπŸ€£πŸ€£ wew ni zuzu nini.? Hizo vipingo ni vi small projects the likes of Avic town.
 
Chunga sana kijana, mimi sio rika lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…