Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni kama kunakuanga na conpulsory subject ya matusi huko
Ukiona matusi zimeanza kurushwa juu chini ujue dawa imeingIa penyewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Conpulsory ndiyo nn? Alafu unaongelea kuhusu matusi, kuna nchi duniani inazidi Kenya kwa raia wenye matusi? Kenya mpaka watoto wanatukana matusi mazito, matusi Kenya ndiyo maisha yao mpaka bungeni na serikalini ni mwendo wa matusi tu, no wonder shida na laana haziishi huko.
 
Wewe si next utaitisha picha ya yanga wakicheza na simba huko nyayo usiku, na ukiletewa utaenda kitu ingine tena
Sikia akili yako sio vyombo vya wageni usiogope kuitumia.

You can trace the argument kijana. Wamesema Nyayo haikua na any match Since 2021. Meaning uwanja ulikua mbovu while mpo busy kuutetea that time, so between 2022,2023,2024 onyeshni night game ikiwa NairobiWalker alisema they did replace it.

Sio kuleta ufala wa 2012 kuargue kulikua na taa 2022

Soma hiyo.link na mwaka.

I repeat akili yako sio vyombo vya wageni usiogope kuitumia
 
I told him Fumba is just a normal thing in Kenya many times over …nothing unusual to us…but he’s too stuck in inferiority complexβ€¦πŸ˜
You have to understand him, ndio hizo trend zinaingia Tanzania saa hii so anadhani they are the first. Hajui Kenya almost every county has such projects. In Kisumu there is 2, one already ongoing called Rocky Ridge and now the recently launched LV Marina.
 
Nimekuonyesha 5 different estates in Vipingo lakini wewe bado umekazana na moja, that should tell you that Fumba can’t compete Vipingo. Ebu tuonyeshe other estates tofauti na hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…