Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nani asiejua kama unaniogopa.? 🀣🀣🀣
 
upumbavu ni pale kutojua single ya Nairobi Marioo katunga na kumshirikisha Bien Marioo hana miaka minne kwenye game na album yake na subscribers wengi na viewers zaidi ya milioni 300!
Kakwambia hivo? Amemshirikisha Bien ila verse ya Bien katunga mwenyewe. Hata Kiswahili alichotumia ni cha Kenya otherwise hiyo verse ingetungwa na Mtanzania
"'akidondosa kishenzi"
''Habari gani'
''mbona uko lonely''
''jina ni gani''

Hizo vocabulary za Kenya........kama unaelewa culture ya hizi nchi mbili utajua hiyo verse imetungwa na Mkenya. Wacha upumbavu.

Enjoy huu wimbo wa Kenya


View: https://www.youtube.com/watch?v=epBN_hovPDI
 
Actually Tanzanian musicians can’t be compared with Kenyan Musicians when it comes to liberation. Wanamuziki wote wa Tanzania wana lambda matako ya wanasiasa na CCM.

In Kenya most Liberaations are always driven and motivated by our musicians.

These were released to radicalize the crowd.

Mandamano by Bien


View: https://x.com/amerix/status/1810375108822970877
Kifo cha Mende by Iyanii


View: https://youtu.be/ywxrFIuokQk?si=lkyDbsa6L5N7-sPK

Utawala by Juliani


View: https://youtu.be/9HNl8YAnp0Q?si=z4Vmu6H0npt6MfBT
Unbwogable β€œunscarred” by Gidi Gidi


View: https://youtu.be/DcIDTiqzJ0s?si=GIv6PBu6bVJypipR
Wajinga nyinyi by King Kaka


View: https://youtu.be/WIuMZmagvUk?si=nJgvtuhA0xU94yst
Tujiangalie by Sauti Sol


View: https://youtu.be/gnt10R89W74?si=NMCmXaixiO8SvYVK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…