When did you design it?What do you mean?
Hii ni mombasa mpya au ni filter mpya.? 🤣🤣🤣Pole sana watchman.
Do you see old town architecture hapo au you are naturally stupid?Hii ni mombasa mpya au ni filter mpya.? 🤣🤣🤣
So filter ndio imeweka hizo magorofa hapo? Filters ndio imechange architecture za hizo buildings from old to modern?Hii ni mombasa mpya au ni filter mpya.? 🤣🤣🤣
Karibia kila kitu?Ni kama na nyinyi ambavyo mnachukua negativity ya Samia na kikwete mnasahau kuwa kipindi cha magu karibia Kila kitu kilisimama ikabaki miradi michache ya kuonesha
Kwahiyo unataka kusema Burna boy kabeba speakers zotee za kwenye hall? Wacheni unyoko wa kumsingizia hizo speakers zitakuwa kutoka Githurai!Jana mmepost humu kwamba Burna Boy mwenyewe kaja na sound system yake. Leo hiyo hiyo sound system ya Burna Boy mnaitumia kuiponda Kenya. Mbona msimponde huyo Burna Boy mwenyewe mwenye mlisifia kwa kuchagua kuja na system yake mwenyewe?
Iwe multipurpose use! For basketball, vollryball na Tennis pia! Sio mpaka msanii aandae festival au watu wa injili!My Ideal of Kawe Complex Arena
View attachment 3255563
View attachment 3255565
View attachment 3255572
Hayo mabehewa hayavuki hata moro kwa taarifa yako maana urefu yamezidi na hayawez pita kwenye mahandak ya kilosa . Sasa mwendazake wakati alazimisha tulipe kwa cash hakujua hilo?
Exactly ni multipurpose. Basketball, Volleyball, Boxing, Entanglement events etc.Iwe multipurpose use! For basketball, vollryball na Tennis pia! Sio mpaka msanii aandae festival au watu wa injili!
What do you want exactly?When did you design it?
Mkisema jana amekuja na sound system mlikuwa mnamaanisha speaker zote ama? Halafu hiyo sound system ingekuwa poa mngecredit Kenya ama Burna Boy. You're very useless Geuza.Kwahiyo unataka kusema Burna boy kabeba speakers zotee za kwenye hall? Wacheni unyoko wa kumsingizia hizo speakers zitakuwa kutoka Githurai!
Ilete ile picha bila filter want to show something. 😆Do you see old town architecture hapo au you are naturally stupid?
Mbona una hasira.? 🤣🤣So filter ndio imeweka hizo magorofa hapo? Filters ndio imechange architecture za hizo buildings from old to modern?
Which genera of the baboon family are you?
Uliza jamaa wetu wa horizont infurastrukcha instanbulSijui watanzania Hugo’s wapi nguvu za kulinganisha their neighborhoods to za Kenya.
Hapa ni Lower Kabete, I doubt if there is even an area in Tanzania that can be half as beautiful as this.
View: https://youtu.be/bHieGROGT6s?si=stCpe9kr_mKq58qj
This is Staples Arena in Los Angeles you idiot. Home to the LA Lakers. Wewe utapata wapi ujuzi wa kudesign? Hata choo cha shimo unaweza design wewe kilaza?Why not?
Mombasa old town is a preserved ancient area of Mombasa and it's one of the most beautiful places in East Africa. Hawa wajinga wakiona picha kuukuu za juu wanadhani ni mahali pa ovyo. On ground huwezi pata mahali pazuri kama Old Town Bongolala. Barabara zote paved, nyumba zote historical.Unaogopa Mombasa mpya, imebidii utafute picha za Mombasa old town ujiliwaze na bado hata hio old town bado iko sawa sana.
Mombasa inafanya hio Mwanza yako ifanane kijiji. Hii pia utalia ni filters lakini wewe ukipost Mwanza na filters unataka tukusifu.Ilete ile picha bila filter want to show something. 😆
Mbona una hasira.? 🤣🤣
Kwanini wewe unapenda kujidanganya. .? 🤣🤣🤣🤣. Wenzako ni wajinga ila wewe ni mpumbavu.Mombasa old town is a preserved ancient area of Mombasa and it's one of the most beautiful places in East Africa. Hawa wajinga wakiona picha kuukuu za juu wanadhani ni mahali pa ovyo. On ground huwezi pata mahali pazuri kama Old Town Bongolala. Barabara zote paved, nyumba zote historical.
Wanadhani Old Town is equivalent to their uswazi hovels and brothels.Mombasa old town is a preserved ancient area of Mombasa and it's one of the most beautiful places in East Africa. Hawa wajinga wakiona picha kuukuu za juu wanadhani ni mahali pa ovyo. On ground huwezi pata mahali pazuri kama Old Town Bongolala. Barabara zote paved, nyumba zote historical.