Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Badala ya Serikali yao itengeneze kazi kwaajili ya wananchi wao, wanafurahia kuishi nchi za utumwani na kujenga uchumi wa nchi za watu.Yap you are not lazy, some Kenyans went further to even breastfeed puppies just to get paid,
what is the average pay of a Kenyan house maid in Saudi Arabia?
Majority (9/10) of Kenyans that flee Kenya to run away from bad situation of poverty and hardship of life are unskilled, working as house maids and casual labourers in construction sites and factories.
They say Qatar alone has over 300k Kenyans.
Average cost of living in USA per day is $211.73 kwa mwaka itakuwa $77,281.45
Mwambie atueleze ana save kiasi gani kwa mwaka? π€£ π€£ π€£ π€£