Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sipo portland since 2015 nilisepa hiyo nchi ya mazombie fala ww
 
Hilo koti ni la shemeji yako nini?

Maana kwenda kukaa kwa dada yako US siku 2 na wewe unajiona Mmarekani tayari. Unaendeleza fantasy zako za US ukiwa ocha kwenu huko ukifakamia muratina.
That’s a $1200 suit ( bought 4 years ago)… how much in Pesa za madafu ?… 🤣🤣🤣
 
That’s a $1200 suit ( bought 4 years ago)… how much in Pesa za madafu ?… 🤣🤣🤣
It's not about the price lad..

Koti ni oversize hilo. Sasa hakuna anenunua suti oversized maana zipo na vipimo vyake hizo. Hiyo ni umepewa na shemeji yako tu.
 
Halafu wategemee Shilling upande thamani? Nina uhakika watatumia dollar kununua huo umeme.

Swali La msingi hizo MW 2115 zinapelekwa wap, wanazima mitambo au vip?

Kimsingi nashauri watutafutie Rais mwingine mwaka huu. Vinginevyo 2030, hii nchi itakuwa hapa hapa. No progess

Mwezi wa tatu huu sioni.Mwendokasi mpya, au zimekwama?
 
Yaani hasara ni nyingi kuliko faida.
 
View attachment 3266274
Hamna koti la usd 1200 hapo,hadi kunyan wenzio wamekupuuza doordash mpumbavu
Since you fake claim you been to the Portland , ever heard of men’s Wearhouse?… a brand package of suit , tie, belt, Shirt and shoes … how much total do you think it is?… just jacket and pants together is $650 … I think hiyo picha ni ya rafiki yako …sio wewe hujui marekani …
 
Jamaa kuwepo america anajiona kama yuko peponi,yan kitu kidogo tu america,america,angejua huyu fala 😀😀
You are full of shit and you know it..😂😂… you can’t have your cake and eat too… the whole thing started way back when I posted something and you Bongolalas jumped on my case that I was faking na niko Kibera ( nothing wrong with that)…Now that I have defeated you, sasa you flip flop tu who cares ?… hio inaitwa wivu .. and for you to say you came to America but realized Tandale was much better so you went back… that’s clown shit … you are a liar !… you never stepped your foot in the US or if you did , you got deported …I asked you a simple question about Portland and you couldn’t answer… Liar pants on Fire 🔥 🤣🤣🤣🙂
 
Jamaa kuwepo america anajiona kama yuko peponi,yan kitu kidogo tu america,america,angejua huyu fala 😀😀
Yes America ni kila kitu … we set trends and the world follows including you… that phone you are using to post none sense or the car you drive ( probably not) among many other life essentials are all American inventions .. hata all your celebs , wanna be Niggas … from the way they dress to their mannerisms … as a US citizen I say Put respect to the United States … 🇺🇸… we rule the world!..bow down!… 🤣🤣🤣🤣
 
Mimi si mjinga kama wewe kujitamba nilipo! Hata ningekuwa Mars!
You questioned my residence back then … so please don’t give up … keep questioning, you make my day .. and Like the great Ali, I keep flying on you like a butterfly and stinging you like a bee …🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣 unajisifia kuishi US kumbe bado ni lishamba. 👇🏾hili dubwana sijui umenunua mtumbani. 🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…